Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,215
- 64,308
Ni sababu ipi inayokufanya utafute mpenzi?Je ni kwa sababu ya umri umefika, au ili kuondoa upweke ulionao,au ili kupata watoto,au kusaidiana kimaisha, au ili upate uhakika wa tendo muda wote ukiitaji, au unaiga wenzio wenye wapenzi,au sijielewi?