Ni Mwanamke mwenye umri wa miaka 30,ambaye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na hajawahi kujamiiana na mwanamume anayetarajia kufunga naye ndoa wala hajamfahamisha kama yeye ni bikira katika...
WAREMBO ni WENGI SANA
Huwezi wamaliza wote
Huwez wapata wote
Huwez wahonga wote
Huwez wadanganya wote
Wapo wanajiuza kwa ngono
Wapo wanao hitaj kuwa na HB
Wapo wanao patikana kwa BIA tu
Wapo...
1. watu wanahangaika kutafuta watoto kwa gharama kubwa mno..........
2. watu wanafikia hatua ya kuiba watoto mahospitalini na mitaani na kukimbia nao ili wakawe na furaha....
3. watu wanafikia...
Kazi ya kutafuta mwenza ni ya mwanaume na sio mwanamke..
Mwanamke huwa anasuburi kumpata mume na wala sio kazi yake kutafuta
Nyie wanawake mnaotafuta waume au wachumba jiangalieni ni wapi...
Habari members!!
Kama kichwa habari kinavyosema,
Mimi ni MUISLAMU MWANAUME imetokea kumpenda binti wa kikristo amezaa mtoto mmoja.
Na huyo binti ni mfanyakazi wa bank fulani hapa Tanzania...
#UNAAMBIWA Tafiti zinaonesha Mwanamke huongea wastani wa maneno 7000 kwa siku wakati Mwanaume huongea wastani wa maneno 2000 pekee,
unadhani nini kinasababisha Wanawake kuwazidi Wanaume idadi ya...
Wakati wa kutongozana enzi zile ilikuwa ni full haibu mpaka kutafuna vipande vya nyasi.
Vipindi vimepita na mihura ya kuandikiana barua na tukapita mingine kadhaa mpaka leo simu zilipofika, lengo...
Mpenzi niliye naye ananipenda sana, japo kazoeana sana na wanaume yaani hatari.
Nimejaribu kumwambia, anasema ataacha mazoea lakini ndo yanazidi. Wivu mawazo yananitesa!
Je, nimvumilie au nipite...
Katika pita pita zangu za malavidavi na uzoefu wa jinsi ninavyoona familia zenye mama wa kikurya kwa kweli nina ujasiri wa kuwashauri kuwa ukibahatika kudate na binti wa kikurya una nafasi kubwa...
Nakumbuka nilishawahi mpenda mtu nikaja kujua yupo kwenye mahusiano lakini sikujali bado niliendelea kumpenda. Mwisho wa siku akaja kunifanya mchepuko yaani akawa na mtu mwingine wa tatu katika...
Nashindwa kwenda nae sawa japo nampenda.
Yan ukimuuliza swali anaweza kaa sekunde kadhaaa ndo ajibu, hii muda mwingi inanitia uvivu ma hasira. Mkipishana kauli hasemi anatulia kisha kama ni...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nimeajiriwa.
Baba yangu amegoma kabisa kujenga nyumba yake akidai mimi nisipomjengea watu watanidharau na kunicheka, yaani kwa ufupi nawaza mpaka nakonda...
Tusibishane saana na hata tukibishana ukweli uko pale pale. Mwanamke aliumbwa kulea na mwanaume kutafuta.
Habari ya "wote sawa" sijui "haki sawa" ni usasa wa kijinga. Nionyeshe mwanamke...
Vigezo
Sifa zangu, ,mbahili (sina matumizi yasiyo ya maana nahudumia mambo ya msingi tu).kwahiyo ukija na staili za kudanga kwang itakula kwako,,nina tamaa sana ya kutoka kimaisha hivyo nafanya...
Ndugu zangu,
Naomba hoja na sio vitisho mara mke wa mtu ni sumu nk.Maana neno mke wa mtu ni sumu lilishapoteza ukali na mvuto maana toka tumezaliwa tunalisikia. Hivyo katika utoaji wa hoja/...
Leo ni siku ya kumbu kumbu kwa ufilauni niliofanyia kaka kwa shemeji yangu 2017
...Shemeji popote ulipo nakumbuka tulichokifanya hakikumpendezea mungu hata kidogo..
Ikiwa leo ni siku ya...
Kwenye hii Dunia kuna wanawake wana wivu ule wa kupindukia!,wivu ni mapenzi lakini ukipita kiasi inakuwa ni kero kubwa sana!
Unakuta ukiweka profile picha yake siku unaitoa ni ugomvi,Mara kila...
Baada ya kuwa karibu naye kwa kipindi kirefu,niliona kila aina ya dalili ya kupewa mzigo nikashawishika nikaitumia vizuri sana fursa hatimaye nikapewa mzigo,baada kwenda faraghani na kubaki kama...
Kwa kadri ya maandishi ya wengi humu jamvini (hasa vijana wa kiume) inaonekana ni laana kubwa kwa mtu kuwa single mother. Nimekaa na kutafakari je, tunawatendea haki dada zetu hawa? Kuwasakama...
BARUA YA MAMA KWENDA KWA MWANAYE - SIKU TATU BAADA YA MAZISHI.
Mpendwa mwanangu,
Nataka ujue kwa nini nilikufa nikiwa masikini wakati nina mtoto kama wewe.
Mwanangu, nilitaka kukupa baraka...