Warembo hawaishi

Bengalisis

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
1,847
2,768
WAREMBO ni WENGI SANA
Huwezi wamaliza wote
Huwez wapata wote
Huwez wahonga wote
Huwez wadanganya wote

Wapo wanajiuza kwa ngono
Wapo wanao hitaj kuwa na HB
Wapo wanao patikana kwa BIA tu
Wapo wanao patikana kwa PESA
Wapo wanao hitaj NDOA
Wapo wanao hitaj mapenz ya ZUGA

Hivyo kikubwa kutulia na mtu sahihi ambae mwaweza fika sehemu Fulani.....

Usije muacha mwanamke mwenye akili ya maisha kisa unamtaka mwenye makalio na sura nzuri.

Kumbuka

Anaweza kuwa mzur wa sura na umbo ila mchafu wa tabia...

Lakin sio kila mwanamke mzur ukajua ni MALAYA,wapo wanao tambua thaman ya miili yao hvyo hujitunza...

Ukimuacha kisa umempata mrembo zaid yake na kesho utamuacha mwingine kisa utakuwa umepata aliye bora zaid yake kwa sura..
Utaacha wangapi?

Karibuni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamuamini mrembo unatua na mizigo yako, kumbe yeye bado ana safari zake.
Na utamjuaje!?

Unakufa kwa uaminifu.

Tuwe makini kwenye selection na maamuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom