Ushawahi kumpenda mtu aliye kuwepo kwenye mahusiano ilikuwaje?

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Nakumbuka nilishawahi mpenda mtu nikaja kujua yupo kwenye mahusiano lakini sikujali bado niliendelea kumpenda. Mwisho wa siku akaja kunifanya mchepuko yaani akawa na mtu mwingine wa tatu katika mahusiano nikajua hilo lakini sikujali.

Nilizidi kumpenda sijui alinipa nini huyo binti ila nili fall kiasi kwamba sikujali wala kuona kama ni tabu kwangu kuungwa cheni.

Siku anakuja kuniacha kimasihara dah! niliumia sana nilidhani ataona kiasi gani nilimpenda na kutojali yote hayo lakini haikusaidia nilipigwa chini kama kawa.

I wish to know you Guys ushawahi kumpenda mtu na ukajua anamahusiano na Ukaendelea kukomaa nae ? ilikuwaje na mwisho ukawaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imewahi kutokea ikabidi tuwe marafiki tu kama mwaka hivi na zaidi tunaonana piga story fresh ikaja kutokea siku moja aligombana na rafiki yake aliyekua anakaa nae ilikua usiku hakuwa powa akamcheki jamaa yake jamaa akamwambia acha ujinga lala mi nimechoka hahaha

Akanipigia simu tukaongea akanielezea nikamwambia nakuja hapakua mbali sana mwendo kama dakika 10 kwa pikipiki halafu usiku wa saa 5 akakataa nisiende akasema tuchat, basi mi nikapanda boda huku tunachat akashangaa nimefika. Nikakaa nae mpaka night kali akawa anacheka akawa okay nikamwacha nikasepa akanitext leo nimeamini unanipenda ndo mambo yakaanza hapo sasa..

Tulipokutana siku nyingine wakati namuaga akanipa deep kiss wiki kadhaa akampiga jamaa chini sababu alikua don't care sana mchizi anaweza kaa wiki 2 hawaonani na hawakai mbali hata nikajichukulia mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona Sasa Mapenzi bana Yananguvu Sana
Alafu Sometimes unakuta Ndio Wife material huyo

View attachment 1370481

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ulikuwa hujali kuumiza nafsi yako ulitegemea yeye angejali kukuumiza wewe?

Yaani, jambazi umempa silaha ni wazi angekuua kwa silaha hiyo hiyo.
 
Imewahi kutokea ikabidi tuwe marafiki tu kama mwaka hivi na zaidi tunaonana piga story fresh ikaja kutokea siku moja aligombana na rafiki yake aliyekua anakaa nae ilikua usiku hakuwa powa akamcheki jamaa yake jamaa akamwambia acha ujinga lala mi nimechoka hahaha

Akanipigia simu tukaongea akanielezea nikamwambia nakuja hapakua mbali sana mwendo kama dakika 10 kwa pikipiki halafu usiku wa saa 5 akakataa nisiende akasema tuchat, basi mi nikapanda boda huku tunachat akashangaa nimefika. Nikakaa nae mpaka night kali akawa anacheka akawa okay nikamwacha nikasepa akanitext leo nimeamini unanipenda ndo mambo yakaanza hapo sasa..

Tulipokutana siku nyingine wakati namuaga akanipa deep kiss wiki kadhaa akampiga jamaa chini sababu alikua don't care sana mchizi anaweza kaa wiki 2 hawaonani na hawakai mbali hata nikajichukulia mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi kitu Cha ajabu Sana
 
Kiukwel yashanipata sana ila utaratibu ni ule ule nakula mzgo then nakaa benchi nasubiri tena kuambiwa nipashe nijiandae kuingia mzgoni yan ipo hv nikijua demu ana mshikaj mwingne nachofanya nakula mzgo half nakaa pembeni nachofanya mm nikuskilizia mpk siku anitafute yeye siwezi mwambia ety tuachane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha"no Stress unajilia kimasihara

Back
Top Bottom