Unadhani ni nini kinasababisha Wanawake kuwazidi Wanaume idadi ya maneno kwa kiasi kikubwa hivi?

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
#UNAAMBIWA Tafiti zinaonesha Mwanamke huongea wastani wa maneno 7000 kwa siku wakati Mwanaume huongea wastani wa maneno 2000 pekee,

unadhani nini kinasababisha Wanawake kuwazidi Wanaume idadi ya maneno kwa kiasi kikubwa hivi?

Nisaidie kumtag Rafiki yako ambaye idadi ya maneno yake kwa siku inazidi hata hii

iliyowekwa na Watafiti
FB_IMG_1582796726988.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wao ni wadanganyifu, wanataka uamini ilihali wana mambo mengi vifuani mwao ambapo wakiamua kuyataja au ukija ukiskia unaweza kuchukua maamuzi magumu, so maneno mengi kwao ni kama kitulizo kwa mwanaume lakini ukweli haswaa wanao wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa sisi tunatumia right and left brain while nyie mnatumia left brain.

Asa usiniulize kwann nyie mnatumia left brain tu mm sijui
 
Kwa kuwa sisi tunatumia right and left brain while nyie mnatumia left brain.

Asa usiniulize kwann nyie mnatumia left brain tu mm sijui

So unamaanisha sisi wanaume Right brain, haifanyi kazi katika kuongea?

Beggars can't be choosers
 
Back
Top Bottom