Bikira miaka 30 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bikira miaka 30

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Soraya, Nov 24, 2011.

 1. Soraya

  Soraya JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ni Mwanamke mwenye umri wa miaka 30,ambaye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na hajawahi kujamiiana na mwanamume anayetarajia kufunga naye ndoa wala hajamfahamisha kama yeye ni bikira katika umri huo wa miaka 30,kwani anajisikia aibu kubwa kuwa bikira katika umri huo.

  Hivyo alichopanga kufanya kabla ya siku ya harusi ni kwenda clinic au kitui chochote cha afya kutoa bikira hiyo.

  SWALI: Je ungepewa nafasi ya
  kumshauri, ungemshauri aendelee na huo mpango wake au ungempa
  ushauri gani?

  Je wewe kama mwanaume,ungekuwa ndiyo huyo mume mtarajiwa na siku hiyo ukakuta bibi harusi ni bikira katika umri huo wa miaka 30 ungeipokeaje hali hiyo?

  Ni kisa cha kweli.
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Akiitoa, bado ataonekana unexperienced siku ya siku na huenda ika muirritate au kumdisappoint mumewe! Hivyo ni bora acome clean na kumueleza mchumbewe ukweli!

  Uzuri wanaume wa kibongo/afrika bado wanashobokea bikira so it is a plus to her; ngoja waje wacomfirm wenyewe!
   
 3. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hilo mbona si jambo la ajabu? Ninaawafahamu watatu ambao walipoteza u-bikra wao siku ya harusi katika umri wa 33-35 mmojawao ni shemeji yangu.
   
 4. libent

  libent JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  tatizo wapo wanaotunza bikira lakini kumbe nyuma ameshachafuliwa yaani alikuwa anagawa tigo tu hapo ndo wasiwasi unaweza kuanzia hapo
   
 5. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ulijuaje?
   
 6. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 794
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  mwambie haache zakindezi, kwann hasingetoa muda wote uo wa miaka 30 aje atoe na kidole? mwache jamaa akute utandu wake hapo, hajue kua ulikua njema! ila ilo la tigo mhhh!
   
 7. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Kuna tofauti kubwa sana kati ya bikira na kuwa hajawahi fanya ngono. Inaweza ikawa hajawahi kufanya ngono lakini bado asiwe na bikira. Kutowahi kufanya ngono sio guarantee ya kuwa bikira. Bikira ni kizinda kinachoweza kuondoka kwa mazingira tofauti tofauti ingawaje kubwa zaidi ni ngono.

  Na hata kama bado anayo, bado kuna tofauti kati ya bikira ya (say) msichana wa miaka 16 na mwanamke mwenye huo umri wa miaka 30. Katika umri huo, jama anaweza akafanya nae ngono kwa mara ya kwanza na wala asihisi chochote.....

  Labda tofauti atakayoiona ni ile ya hofu ya mwanamke mwenyewe kama vile ya kutaka kujihami labda kwa kutaka kubana miguu na mambo mengine kama hayo. but am surem, kama mwanamke atakuwa relaxed, kuna uwezekano mkubwa jamaa asi-feel chochote coz' nyonga zake zimeshatanuka vya kutosha!
   
 8. F

  Fundifundisho Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aje kwangu nimsaidie kuitoa hiyo bikira..!
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Dah! Yaani kweli tumefika mahali ambapo mwanamke ama mwanaume kuolewa na bikira ni kitu cha fedheha?! Maadili yameenda wapi? Kweli? Soon tutaambiwa ni fedheha kwa mwanamke ama mwanaume kutokua na nyumba ndogo!

  Aisee! Soon itakua fedheha kutokuzaa nje ya ndoa hata kwa wanawake, manake niliwahi kushawishiwa eti kama kikivunjwa chungu ama kukiwa na laana ya ukoo, basi kama mwanamama kachakachua walau kuna ambao hawataathirika!

  I won't be surprised Mungu akikiri wanadamu tumemshinda!
   
 10. Geen

  Geen JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Huyo hana haja ya kuotoa hospitaal,amueleze tu ukweli mwenza wake maana siku ya siku ataonekanaa hajui majamboz kitandani na mume atakuwa bored
  amwaambie tu ili mume ainde naae taratibu na kumfundisha nini cha kufanya
  Ila pia kama mchangiaji alivyosema hapo juu inawezekana kabisa kusitoke damu wala kusiwe na tofauti
   
 11. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  Huyo Mwanamke hata hajitambui! Sasa kama alikuwa mejitunza kwa ajili ya nini? Siku hizi ni aibu kukutwa na bikira? Aende kwa macheni akaiuze wapo wataiondoa!
   
 12. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni advantage kwa huyo dada. Inaonyesha jinsi alivyo muaminifu ktk maisha yake kitu ambacho kwa kiasi kinaweza kujenga imani kubwa kwa mume endapo bikira hiyo itakuwa si ya kuchakachuliwa!
   
 13. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwani ukiacha huyo shemeji yangu unafikiri hao wengine nilijuaje? Au walibandika matangazo magazetini?
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Mwambie asiitoe maana yangu ina miaka 55 lakini bado nadunda nayo na sina wasiwasi ijekuwa huyo miaka 30!!
   
 15. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Yaani asithubutu kuindoa!!! Maana jamaa atajua kuwa kumbe kuna majamaa yalikuwa yakiipiga! Lakini akibakia hivyo na akamueleza mumewe kuwa hajawahi hivyo kuwa careful na hata kama hajui cha kufanya ataoneshwa!

  Lakini afanye operation Ili jamaa akijaribu tu break*******. Halfu shughuli yenyewe hajui hapo atakuwa ameharibu na jamaa ataenda nje tuuuuuu!!! Huyu mdada hatakuwa na sababu ingine hawezi kusema hjafanya ushahidi wa kimazingira utamsuta!!!
   
 16. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Daaah.. Yani jamaa anataka kuchukua mbuzi kwenye gunia?
   
 17. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Hapa kuna mawili...kwanza kuna bikra kama dhana (yaani purity) na pili kuna bikra kwa maana ya maumbile (uwepo wa hymen). Kama walivyosema wengine hapo juu, bikra kwa maana ya maumbile inaweza isiwepo lakini lakini bikra kama dhana (ukweli kwamba huyo dada hakuwahi kukutana na mwanaume) bado ikawepo! Hata kuwepo kwa bikra ya maumbile in itself sio conclusive evidence kwamba hakuwahi 'kukutana na mwanaume' (Note: sio wanaume wote wanaweza kutoa bikra katika siku ya kwanza kwa mfano...wakati mwingine ngono inaweza kufanyika bila ya kuwepo kwa significant insertion ya uume kwenye uke na hivyo bikra kuwa spared!....na kuna wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuanza kutumia 'mlango wa pili' kupreserve ule wa kwanza ambao wanajua kuna scrutiny kubwa!).

  Kwa huyo dada kukaa kimya kuna risk pia ya mwanaume kudhania kuwa ni bikra fake ('ya kichina'!) kutegemeana na anavyomchukulia huyo dada. So the best way ni kumwambia ukweli huyo mumewe kuwa hajawahi kukutana na mwanaume (bila kusema hasa kwamba kuna bikra kwa maana ya maumbile ama la - unless kama anauhakika wa kitabibu wa uwepo wa ile hymen).

  Trust nobody!
   
 18. Mlendamboga

  Mlendamboga JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  mmmh nilitaka kukuuliza swali kama ulivyoanza sentensi "mimi ni mwanamke........ any way baada ya kusoma hadi mwisho nimeelewa " sasa napita nitarejea kuchangia baadaye
   
 19. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #19
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  mwambie aitoe tu,kuolewa na bikira ni aibu siku hizi...argggrrrhh
   
 20. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,837
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  Kwanza huyo dada anatakiwa kujivunia bila kuona aibu kwa sasabu hadi kufikia umri huo amekwepa mengi na ameshinda mengi sana..na mumewe anacho cha kuzungumza mbele ya mkewe na hawezi kuwa na wasiwasi kuwa mke wangu anachakachuliwa na mtu..hii inaonyesha huyo dada jinsi alivyo mwaminifu juu yake mwenyewe na kwa mume wake mwenyewe na mbele za muumba wake..

  wadada wengi wangekuwa waaminifu namna hii matatizo mengi yaliyoko kwenye ndoa tusingekuwa tunasikia..sio leo demu yuko anachakachuliwa na jamaa yake kesho ndoa na jamaa mwingine..
   
Loading...