Mlio kwenye mahusiano na watu wasiopenda kuongea nisaidieni

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,431
5,072
Nashindwa kwenda nae sawa japo nampenda.

Yan ukimuuliza swali anaweza kaa sekunde kadhaaa ndo ajibu, hii muda mwingi inanitia uvivu ma hasira. Mkipishana kauli hasemi anatulia kisha kama ni kwenye simu anakata .
Kuna uzi niliwahi leta humu wanasema sijui sanguine siijui introvert mi siepewi sasa kama ndo hayo madude au ni jeuri au hanipendi
 
Hapana mkuu kaa nae taratibu umueleze kuwa ukiwa na ajaribu kuwa open....me nilipata tatizo kama lako mpaka nikahisi ni kiburi japo kiburi anacho

Ila nakumbuka siku moja nilimuuliza kama yupo happy na relation akajibu “ndio” tangu siku hiyo amejaribu walau sasa hivi kuna uhafadhari mpe muda tu mdugu yangu pia usiache kumuelekeza wala ww usimlinganishe na mademu wa washikaji zako maana kila mtu ana sifa zake

Mfano me nilikuwa napenda sana tuchart adi usiku sana lakini yeye hana vitu vingi kwa hiyo mtajikuta mmechart kidogo ila ukiona washikaji wanachart na watu wao kwa muda mrefu usione kama demu wako hafai

We enjoy nae ata kama akikutumia text ya usiku mwema ijibu then inatosha tupo tofauti tusijilinganishe au kuwalinganisha wapenzi wetu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kuna muda kama bina damu unaishiwa uvumilivu. Mfano unapomuuliza swali af akiwa kimyaa kwa sekunde kadhaa, hua analichakata swali au nini?
 
Mmekutana wakubwa mmekulia mazingira tofauti. Mengine mvumilie nenda naye taratibu atabadilika. Ila mshukuru ulinaye.

Hammaz kuna muda kuongea anaona uvivu sana! Kama mtu akiongea kitu ambacho hakimjai akilini anapotezea anaona kama atamchosha tu. Lakini hamdharau. Ila anaona atamchosha tu.

Msg ndiyo balaa! Kuandika anaona uvivu. Kuzisoma ndiyo mulemule bora umpigie simu. Kama namba ni ngeni halafu kakuta 1 missed call! Hapo imekula kwako hapigii.

Muda mwingi anapenda kuwa kimya tu. Ila moyo wake haudharau mtu. Hata humu Jf kujibu/kuchangia kwa kuandika huwa anajikaza sana. Kujibu huu uzi imemchukua dakika 20 naaa.

Ila hana dharau.
 
Hapana mkuu kaa nae taratibu umueleze kuwa ukiwa na ajaribu kuwa open....me nilipata tatizo kama lako mpaka nikahisi ni kiburi japo kiburi anacho

Ila nakumbuka siku moja nilimuuliza kama yupo happy na relation akajibu “ndio” tangu siku hiyo amejaribu walau sasa hivi kuna uhafadhari mpe muda tu mdugu yangu pia usiache kumuelekeza wala ww usimlinganishe na mademu wa washikaji zako maana kila mtu ana sifa zake

Mfano me nilikuwa napenda sana tuchart adi usiku sana lakini yeye hana vitu vingi kwa hiyo mtajikuta mmechart kidogo ila ukiona washikaji wanachart na watu wao kwa muda mrefu usione kama demu wako hafai

We enjoy nae ata kama akikutumia text ya usiku mwema ijibu then inatosha tupo tofauti tusijilinganishe au kuwalinganisha wapenzi wetu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wa kwangu nilimuona ananichosha! Msg nyingi zinaingia kwa wakati mmoja! Sijajibu ya kwanza tayari zimeingia 3 au 4. Nikamuuliza hizi msg huwa unazi' save halafu unanitumia zote kwa pamoja ama ni kitu gani? Mungu weee! Kumbe nikamfungulia milango! Akacheka sana.

Masikini kuchat sana huwa sipendi. Msg mbili tatu zinanitosha. Kuzungumza sana huwa kunanichosha. Kwa vile anajua nipo hivi yeye ananifanyia makusudi.

Sijisikii kuimalizia.
 
Hahahahahahha umenichekesha kweli

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nashindwa kwenda nae sawa japo nampenda.

Yan ukimuuliza swali anaweza kaa sekunde kadhaaa ndo ajibu, hii muda mwingi inanitia uvivu ma hasira. Mkipishana kauli hasemi anatulia kisha kama ni kwenye simu anakata .
Kuna uzi niliwahi leta humu wanasema sijui sanguine siijui introvert mi siepewi sasa kama ndo hayo madude au ni jeuri au hanipendi
Mkuu shukuru Mungu alicho kuchagulia hicho, mimi wakwangu anapiga sawundi paka unachoka, kama hujali njoo tubadilishane na Mdigo wakwangu, mimi sio mtu wamaneno mengi napenda vitendo zaidi njoo uchkue hu unipe huyu mimi huyu angalau pamoja naukimya wake ntampenda hivohivo lakini sio huyu wakwago anakupa maelezo hata suali ambalo hujamliza bado duh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eheee

mna muda gani kwenye mahusiano?? naomba nijibu then nitajua pakuanzia kujibu tatizo lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom