Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaam wakuu Mtaani kwetu kuna msichana mzuri hakuna mfano wake! Jicho la kurembua, pua kama mnyarwanda, midomo ya kunyonya, sauti kama kinanda yaani akisema unahisi moyo unabadili mapigo...
1 Reactions
44 Replies
10K Views
Kubali tusikubali hili nalo ni tatizo kubwa sana kwanza kwa kijana unakwaza wazazi wako. Kwanini uwaanzishie wazazi wako na wajukuu wakambo? Sawa umempenda mke wako japo ana mtoto lakini huoni...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana Jf, Ndoa ni jambo la Baraka sana..na vijana wengi waliofikia umri wa kuowa huwa wanatamani kuingia kwenye maisha ya ndoa….japokuwa huwa tunajiuliza maswali mengi mno …kuwa ni mwenza yupi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sanaaa zaidi ya mwaka na sijapata nafasi ya kupitia jukwaa la Mapenzi labda kutokana na ubize au jukwaa la mapenzi kukosa mada za kushawishi na kujifunza kitu Kipya. Mara nyingi...
10 Reactions
23 Replies
8K Views
Habari za Weekend Wakuu Hivi umeshawahi Kuomba Msamaha mwenzawako huku ukijuwa kbs kosa hujalitenda wewe.? Lakini hukuwa na budi Kuomba Samahani? huwa unaichukuliaje hali hii.? Sent using Jamii...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ukitaka kujua kuwa mpenzi wako ana sifa ya kuitwa mke/mume,fanya yafuatayo; Kama ulikuwa na wapenzi wengi mfano watano (5),chukua pesa kidogo labda 250,000,na kila mmoja mpatie 50,000 akaifanyie...
14 Reactions
59 Replies
6K Views
Leo siku tulivu kabisa kwa upande wangu, nimeona nidedicate hii hit song ya Alaine You are me. kwa Jf memberz wote esp wanajukwaa hili, unaweza ku-mention mtu kama ishara ya kudedicate enjoy...
1 Reactions
4 Replies
882 Views
Ni binti mdogo kamaliza kidato cha nne mwaka Jana kimwonekano ni mpole na mtaratibu sana niende kwenye mada; Leo mida ya jioni simu yake ilikuwa kwenye lugha ambayo haielewi(Africanas) akaomba...
21 Reactions
284 Replies
31K Views
Wiki kadhaa zilizopita nilileta uzi humu kuomba ushauri kuhusu tabia ya mke wa mpangaji mwenzangu Simuelewi mke wa mpangaji mwenzangu - JamiiForums Nimefanikisha kuhama hapa nilipokuwa nakaa japo...
19 Reactions
112 Replies
17K Views
Week ile iliyopita mimi sikwenda kibaruani sababu ya mambo kadhaa yaliyo juu ya uwezo wangu. Basi nikiwa nmetulia sebuleni kwangu nikasikia hodi kuchungulia nikamwona baba mwenye nyumba.nikajua...
8 Reactions
36 Replies
7K Views
Mimi ni kijana ambae sijaoa na nimepanga chumba ambapo hapo napoishi anakaa jamaa fluani mwenye mke na mtoto mmoja. Mimi na jamaa wote tunashinda kwenye mishe zetu bt inatokeaga muda mwingne...
5 Reactions
91 Replies
13K Views
Usije ukathubutu ukaoa,katika vitu ambavyo mwanaume hutakiwi kufanya Ni kuoa,hakuna kitu ambacho ukiwa bachela unakikosa kwamba ukioa ndo utakipata,ila ukioa Kuna vitu vingi sana utakuwa...
77 Reactions
480 Replies
55K Views
Licha ya mapungufu yake madogo ni kitu gani kinafanya Uendelee kumpenda mpenzi/mke/mume wako? Je kwa sababu umezaa nae/kwa sababu anajua kufanya mapenzi/Kwa sababu huwezi ishi bila yeye? Ni...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Najiulizaga kwanini Tukiwa tunajiandaa kuingia mzigoni huoneshana Mahaba mazito mazito tunaogeshana tunabebana kuvuana Nguo. Lakini tunapomaliza tendo Kila mmoja ushika 50 zake Hakuna ile...
2 Reactions
84 Replies
6K Views
Mwaka jana mwezi wa 9 nilipokea text WhatsApp kutoka kwa ndugu yangu (mdada) ya mchango wa harusi. Mzee mzima nikajichanga nikarusha 50,000/- Mpesa kupitia kwa msela Wangu yupo bongo japokuwa nipo...
16 Reactions
78 Replies
8K Views
Akupendae humpendi,umpendae hakupendi. Ni vile watu kutokujua tu,ukitaka penzi la kweli mkubali mtu anaekupenda,kwa sababu atakua mtiifu,mvumilivu,msikivu kwako na ,anayekujali. Atakupa penzi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wadau natumaini ni wazima wa afya,kuna kitendo nimekiona kimetokea mahali nikaona niwashirikishe na nyinyi ili muweze kutoa mawazo/maoni yenu. Kitendo hichi kinamuhusisha jamaa mmoja ambae...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Ni Mwanamke mwenye umri wa miaka 30,ambaye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na hajawahi kujamiiana na mwanamume anayetarajia kufunga naye ndoa wala hajamfahamisha kama yeye ni bikira katika...
0 Reactions
87 Replies
15K Views
WAREMBO ni WENGI SANA Huwezi wamaliza wote Huwez wapata wote Huwez wahonga wote Huwez wadanganya wote Wapo wanajiuza kwa ngono Wapo wanao hitaj kuwa na HB Wapo wanao patikana kwa BIA tu Wapo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
1. watu wanahangaika kutafuta watoto kwa gharama kubwa mno.......... 2. watu wanafikia hatua ya kuiba watoto mahospitalini na mitaani na kukimbia nao ili wakawe na furaha.... 3. watu wanafikia...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom