• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Nahitaji mchumba (serious)

hamisi nondo

hamisi nondo

Senior Member
Joined
Aug 21, 2011
Messages
193
Points
250
hamisi nondo

hamisi nondo

Senior Member
Joined Aug 21, 2011
193 250
Vigezo

Sifa zangu, ,mbahili (sina matumizi yasiyo ya maana nahudumia mambo ya msingi tu).kwahiyo ukija na staili za kudanga kwang itakula kwako,,nina tamaa sana ya kutoka kimaisha hivyo nafanya kazi sana na sija ajiliwa nachakarika tu na mambo yangu binafsi..kuhakikisha maisha yanakua bora zaid

Sifa za mwanamke ninaye muhitaj

Awe miaka 22-26 ...dini yoyote nipo tayari kuwa upande wa dini yake.....cha muhimu zaidi nahitaj mtu ambaye pia ana tamaa kam mimi yani tupambane tusaidiane kimawazo.kiakili ili tutengeneze maisha ya familia yetu hapo tutakapojaaliwa...elimu yoyote tu sawa...kabila lolote tu sawa..ila tu asiwe kibonge hapana.awe na mwili wa kawaida tu..akiwa mrefu sawa,mfupi sawa..nasisitiza awe na akili ya maisha zaidi,.sio lazima na yeye awe na kaz ila hata akini support tu kwa kunipa motisha na faraja ili nizidi kupambana kufa na kupona kwa ajili ya maisha yetu inatosha sana
 
MKAKA HALISI

MKAKA HALISI

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2018
Messages
215
Points
500
MKAKA HALISI

MKAKA HALISI

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2018
215 500
Dogo umewakirisha fikira na mtazamo wa kiume zaidi na wakati huo umeonesha kuto kujali hisia na mawazo ya wanawake huku ukiwahitaji itakuwaje vigumu kuwafikiaSent using Jamii Forums mobile app
 
Thread starter Similar threads Forum Replies Date
T Love Connect 23
Frank255Fx Love Connect 3
E Love Connect 4
joshydama Love Connect 38
M Love Connect 2

Forum statistics

Threads 1,406,209
Members 532,237
Posts 34,508,800
Top