Unawezaje kudate na mwanamke wa aina hii!?

Unawezaje kudate na mwanamke wa aina hii!?

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Kwenye hii Dunia kuna wanawake wana wivu ule wa kupindukia!,wivu ni mapenzi lakini ukipita kiasi inakuwa ni kero kubwa sana!
Unakuta ukiweka profile picha yake siku unaitoa ni ugomvi,Mara kila time anataka kukagua Simu yako,Yaani dakika kumi ana furaha dakika 20 kanuna dakika 30 umbembeleze yaani mapenzi ya namna hii yanaboa sana kukutana na mwanamke mwenye wivu wa kijinga

Sent by Diaspora
 
Bado wapo wanaume wenye kutumia nusu ya saa kumbembeleza msichana kisa profile pic.Mapenzi ya first year
 
Si unaachana nae tu kama ashakua kero

Na kuhusu simu simple mwambie akununulie yake ili awe anaigusa kila atapojiskia ila yako aache
Hakuna kuachana Mungu hapendi.

Unashauri mwenzako waachane akifa je?

Unajua mapenzi yanauma?
 
Kwenye hii Dunia kuna wanawake wana wivu ule wa kupindukia!,wivu ni mapenzi lakini ukipita kiasi inakuwa ni kero kubwa sana!
Unakuta ukiweka profile picha yake siku unaitoa ni ugomvi,Mara kila time anataka kukagua Simu yako,Yaani dakika kumi ana furaha dakika 20 kanuna dakika 30 umbembeleze yaani mapenzi ya namna hii yanaboa sana kukutana na mwanamke mwenye wivu wa kijinga

Sent by Diaspora
sio kila mwanamke mwenye mbunye anafaa kuwa mke na mama watoto angalia sana kijana
 
nasoma tu leo maana naona kama ni utoto na mtoa mada zingatia sana content huu uzi umekaa sana kitoto
 
Back
Top Bottom