Ni vema kujua na kupinga hakubadili ukweli

Andie

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
712
Reaction score
1,643
Tusibishane saana na hata tukibishana ukweli uko pale pale. Mwanamke aliumbwa kulea na mwanaume kutafuta.

Habari ya "wote sawa" sijui "haki sawa" ni usasa wa kijinga. Nionyeshe mwanamke "aliepewa" cheo au madaraka kwa sababu ya weledi na umahiri wake wa kazi na mimi nitakuonyesha mbuzi anaetaga mayai. Kisarawe hoye
 
kufikiria mambo ukiwa ndani ya box ni rahisi sana kuona hivo, nakushauri uwe na mtizamo mpana wa kufikiria mambo ukiwa nje ya box....
majibu sahihi ya jambo lolote hutokana na kufikiria sana na si kuamini masimulizi na maandishi ambayo direct huwez jua nia msimulizi/mwandishi
nb:mafikirio mapana ndo huprove kweli ya kitu
 
Waliopewa cheo kwa weledi wao wapo mkuu. Kuna wanawake ni viongozi wazuri tu na wana mipango mizuri ya kimaendeleo. Ukichunguza kwenye jamii utawaona.

Tukirudi kwenye mambo ya haki sawa na kadhalika. Hapa kuna upotoshaji mkubwa sana. Na cha kusikitisha, wanawake wengi wanauvaa upotoshaji huu kichwa kichwa. Mwanzoni haki sawa hii ili target kupunguza imbalance ya gender ratio kwenye wadhifa tofauti tofauti, maana wanaume wengi ndo walitawala hzo sehemu.

Well and good, balaa ni kwamba sasa hv hii movement inapandikiza ujinga flan hv kwa dada zetu. Nasema inapandikiza kama mbegu maana kiuhalisia ndivyo ilivyo. Mtu anakuja anakuulza "hivi huoni kama huu ni utumwa?" hata kama ulikua huwazii, kdogo kdogo unaanza kuwazia mpaka baadae na wewe unaunga chama.

Inapandikiza mbegu ya "Us" vs "Them" au being a rebel against "mfumo dume" na kujiona wewe ni inferior. Ambapo sio kwel. Matokeo ni kwamba Siku hizi ni nadra sana kukutana na mwanamke ambae hana chembe chembe za huu ujinga, Mwanamke anaejua vzur role yake kwa mwanaume na familia pamoja na kutunza heshima n.k, Mwanamke anaejua mwanaume ana role gan kwenye maisha yake na kuheshimu hlo; hawa nadra mara nyingi huolewa haraka sana. Hawakaagi sokoni muda mrefu.

Juzi hapa kuna post/status ilikua inasambaa kwa wadada wengi. Haswa wengi wao ni single mothers inasema,

"Muulize mwanaume sifa za mke bora halafu angalia anavyomfamfanua MTUMWA."

Nilisikitika sana.

Tusibishane saana na hata tukibishana ukweli uko pale pale. Mwanamke aliumbwa kulea na mwanaume kutafuta.

Habari ya "wote sawa" sijui "haki sawa" ni usasa wa kijinga. Nionyeshe mwanamke "aliepewa" cheo au madaraka kwa sababu ya weledi na umahiri wake wa kazi na mimi nitakuonyesha mbuzi anaetaga mayai. Kisaiawe hoye ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliopewa cheo kwa weledi wao wapo mkuu. Kuna wanawake ni viongozi wazuri tu na wana mipango mizuri ya kimaendeleo. Ukichunguza kwenye jamii utawaona.

Tukirudi kwenye mambo ya haki sawa na kadhalika. Hapa kuna upotoshaji mkubwa sana. Na cha kusikitisha, wanawake wengi wanauvaa upotoshaji huu kichwa kichwa. Mwanzoni haki sawa hii ili target kupunguza imbalance ya gender ratio kwenye wadhifa tofauti tofauti, maana wanaume wengi ndo walitawala hzo sehemu.

Well and good, balaa ni kwamba sasa hv hii movement inapandikiza ujinga flan hv kwa dada zetu. Nasema inapandikiza kama mbegu maana kiuhalisia ndivyo ilivyo. Mtu anakuja anakuulza "hivi huoni kama huu ni utumwa?" hata kama ulikua huwazii, kdogo kdogo unaanza kuwazia mpaka baadae na wewe unaunga chama.

Inapandikiza mbegu ya "Us" vs "Them" au being a rebel against "mfumo dume" na kujiona wewe ni inferior. Ambapo sio kwel. Matokeo ni kwamba Siku hizi ni nadra sana kukutana na mwanamke ambae hana chembe chembe za huu ujinga, Mwanamke anaejua vzur role yake kwa mwanaume na familia pamoja na kutunza heshima n.k, Mwanamke anaejua mwanaume ana role gan kwenye maisha yake na kuheshimu hlo; hawa nadra mara nyingi huolewa haraka sana. Hawakaagi sokoni muda mrefu.

Juzi hapa kuna post/status ilikua inasambaa kwa wadada wengi. Haswa wengi wao ni single mothers inasema,

"Muulize mwanaume sifa za mke bora halafu angalia anavyomfamfanua MTUMWA."

Nilisikitika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena ukweli mtupu.
 
Hilary Clinton, Angela Markel, Asha rose Migiro. Unaweza kua na hoja, ila uwasilishaji wako una tatizo mahala!
 
Back
Top Bottom