He who finds a wife, Finds a good thing

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
2,301
3,429
Kazi ya kutafuta mwenza ni ya mwanaume na sio mwanamke..

Mwanamke huwa anasuburi kumpata mume na wala sio kazi yake kutafuta

Nyie wanawake mnaotafuta waume au wachumba jiangalieni ni wapi mnakosea

... Nani kasema ni who finds a husband?
 
Ni kweli
 
Kutafuta kuna maana pana na kila mmoja anayo nafasi yake katika hili. Kwa dunia ya sasa ni lazima kwa mabinti kusocialize ili waoaji tuwaone. Unataka kuolewa alafu unajifungia ndani kwenu na ukija JF hutaki jamaa waje posta mpya (PM), unataka uolewe na kakaako?
 
Si ndio hawa wanafungua I'd mpya wakisha zeeka ndio wanakuja kutafuta mume
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom