GIPAMA
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,103
- 541
Ndugu zangu,
Naomba hoja na sio vitisho mara mke wa mtu ni sumu nk.Maana neno mke wa mtu ni sumu lilishapoteza ukali na mvuto maana toka tumezaliwa tunalisikia. Hivyo katika utoaji wa hoja/ ufafanuzi achana na nadharia ama dhana ya zamani kuwa mke wa mtu ni sumu.
Hawa wake za watu nao wamezidi, wanatutaka sana vijana hasa ambao hatujaoa, hata mimi ni mhanga wa hilo jambo. (WANATUANZA WAO)
Tupeni ushauri wa maana, mfano:-
Je, kama jamaa hatanifumania kibanjuka nae usumu utakujaje? Ama hata akinitambua tu kuwa mimi ndie nambanjua mkewe anaweza niparamia hata njian?
Je, kama akinijua na asinishike je itakuwaje hapo?
Mwisho kabisa wanasheria mtusaidie, sheria zinasemaje juu ya kukamatwa ama kuhisiwa unatembea na mke wa mtu, je kuna kifungo ama faini? Kama vipo ni kwa kiwango gani?
Mwisho wanaume mliooa punguzeni ukali ndani ya ndoa zenu, na mjitahidi kuwaridhisha wake zenu maana mnatupa tabu vijana ambao bado tunategemewa sana.