Namuonea huruma,nampenda lakini sio kimahusiano

Jan-uary

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
737
500
Baada ya kuwa karibu naye kwa kipindi kirefu,niliona kila aina ya dalili ya kupewa mzigo nikashawishika nikaitumia vizuri sana fursa hatimaye nikapewa mzigo,baada kwenda faraghani na kubaki kama tulivyozaliwa nilijuta sana maana mwili wake hauvutii kabisa yuko hovyo.

Kwakuwa tulishakifungia na tayari tushachojoa mavazi sikuwa na namna,nikala tunda hivyo hivyo(nilizipeleka hisia kwa mwingine nikiwa simwangalii yeye),baada ya kula tunda akaanza kufanya kila mbinu ili niwe chini ya himaya yake,mara nyingi akihitaji nionane naye nimekuwa napigapiga chenga siku moja moja namuonea huruma nampa anachokitaka.

Kichwani Yuko vizuri sana ni mshauri mzuri Sana pia sio mtu wa mizinga hata kidogo Ila tatizo ni moja tu hanivutii kabisa,Sasa nimeamua liwalo na liwe bora lawama Ila siwezi kujilazimisha niwe na mtu ambaye moyo wangu haufurahii kuwa naye,Jamani ukiona mtu anapiga chenga achana naye,hajakwambia kwanini anakupiga chenga kwasababu anakuheshimu/hataki kukukwaza,unataka akwambie unanuka mdomo? Unanuka kikwapa ?huna mvuto? Hayo yote ya Nini!!!!!.

Nimejifunza kutowakomalia wale wanaonipiga chenga baada ya kunanii naamini kuna mapungufu makubwa waliyaona kwangu hatimaye wakaamua kunikwepa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
30,221
2,000
Ila kwenye para za mwanzo umeandika vibaya kwamba hanivutii yuko hovyo..That’s not Gentlemanly!
Ungesema hakukuvutia inatosha, ila hayuko hovyo. Kuna wengine wanalala wanamuwaza watampata vipi...

Kama hujampenda jitahidi kumwambia ukweli ili asitegemee mengi kutoka kwako au tengeneza fumanio ajue una mtu mwingine kama kumuambia ukweli utamshindwa.
Eg. Tuma sms ya mahaba kumsifia demu fula ambae haexist fanya kama umekosea kutuma ikaenda kwake..jina liwe la mwanamke mwingine
 
dingihimself

JF-Expert Member
Jan 9, 2016
9,202
2,000
Baada ya kuwa karibu naye kwa kipindi kirefu,niliona kila aina ya dalili ya kupewa mzigo nikashawishika nikaitumia vizuri sana fursa hatimaye nikapewa mzigo,baada kwenda faraghani na kubaki kama tulivyozaliwa nilijuta sana maana mwili wake hauvutii kabisa yuko hovyo.

Kwakuwa tulishakifungia na tayari tushachojoa mavazi sikuwa na namna,nikala tunda hivyo hivyo(nilizipeleka hisia kwa mwingine nikiwa simwangalii yeye),baada ya kula tunda akaanza kufanya kila mbinu ili niwe chini ya himaya yake,mara nyingi akihitaji nionane naye nimekuwa napigapiga chenga siku moja moja namuonea huruma nampa anachokitaka.

Kichwani Yuko vizuri sana ni mshauri mzuri Sana pia sio mtu wa mizinga hata kidogo Ila tatizo ni moja tu hanivutii kabisa,Sasa nimeamua liwalo na liwe bora lawama Ila siwezi kujilazimisha niwe na mtu ambaye moyo wangu haufurahii kuwa naye,Jamani ukiona mtu anapiga chenga achana naye,hajakwambia kwanini anakupiga chenga kwasababu anakuheshimu/hataki kukukwaza,unataka akwambie unanuka mdomo? Unanuka kikwapa ?huna mvuto? Hayo yote ya Nini!!!!!.

Nimejifunza kutowakomalia wale wanaonipiga chenga baada ya kunanii naamini kuna mapungufu makubwa waliyaona kwangu hatimaye wakaamua kunikwepa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulizini nae kwanini
 
Bubolwa Chura

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
286
500
Hakuna haja ya kutoa maneno makali namna hii. They are our mothers and sisters. Wako jinsi Muumba alikusudia wawe!
Kadhia kama hii iliwahi kunikumba miaka kadhaa iliyopita

Aiseeeee baadhi ya wanawake mna papuchi zinatisha dooouuuuuhhhhhhhh!! Puchi ina mashavu yameninginia ova malapulapu ya gereji mngh!

Mikuburo ya Bugando ina nafuu chaaaaah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KANYEGELO

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
1,127
2,000
Ww unakesi kama yangu ila mm nimeamua kukubali ...nione mwisho wake utakuwaje ..yupo yupo havutiii ,kitambi sio kitambi

Unaweza kuwa stimu ila ukiona akivua kama furushi sio furushi

Ndiyo nishayavulia maji sasa yaani unamtafutia sababu ya kumuacha unakosa

sent from toyota Allex
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom