Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,008
- 17,480
Katika pita pita zangu za malavidavi na uzoefu wa jinsi ninavyoona familia zenye mama wa kikurya kwa kweli nina ujasiri wa kuwashauri kuwa ukibahatika kudate na binti wa kikurya una nafasi kubwa ukawa umepunguza migogoro mingi isiyo ya lazima katika ndoa na kufurahia mke wako na maisha kwa ujumla kwasababu ya sifa zifuatazo: kwanza wengi wao ni wazuri na wana maumbo mazuri na makubwa na chura hipo weupe au maji ya kunde.
Ni nadra kukosana na binti/mke wa kikurya kwa mambo madogo madogo ukasikia anakimbilia kwao ni wavumilivu mpaka kieleweke. Hawana tamaa za mali hivyo usiogope kuuwawa ukitajirika kama akina manka. Tena hawana huruka ya kugawagawa ovyo kama unamtimizia mambo ya msingi na ni wakarimu.
NILIWAHI KUDATE BINTI WA KIKURYA MPAKA SASA NAMKUMBUKA SIKUTAMBUA THAMANI YAKE MPAKA BAADA YA KUMPOTEZA.
Ockay! Sawa! kwa leo japo mtaani kwetu kuna mwali wa kizaramo anatolewa nje mtaa mzima ni kelele za mnanda na mdundiko na wadada wametokelezea na madela yao kazi ni kuyashikilia na hili joto la Dar ndo wakati wake! Niko nakula kwa macho!