Nikiwa na lepe la usingizi naandika uzi kama ifuatavyo
Wanawake ni chombo cha utajiri sema hujui jinisi gani ya kukitumia kuvuna utajiri ila unajua jinisi ya kukitumia kam chombo cha anasa...
Kwako Diana
Kipenzi cha Moyo wangu,
Mpenzi mwandani mahabubu
Naanza kwa kukuomba samahani
Kuandika kwa lugha hii legevu
Nilijaribu lakini sikuweza
Kuyasarifu maneno matamu
Kwa lugha muafaka ya...
Ulishawahi kukutana na hali hii? Yaani unanmtongoza KE,anakukataa kwa maneno makali na kashfa,unajiondokea maeneo hayo kwa aibu na fedheha,inapita siku,wiki,mwezi na hata miaka.Anakua anakutazama...
Siku moja nikiwa nimepata safari ya dharura, nikamuaga binti nilokua nimekamilisha taratbu za kumuoa...
Nikiwa ndani ya gari ikaingia txt ikisema "ntakuja geto lakn usinilazimishe yale mambo...
Kuna kauzi kinamzungumzia bwana chedi ambaye kwa sasa ni marehemu alioa single mother, nilikuwa naomba kujua story ya huyu jamaa ili wengine tupate kujifunza
Heloo!!!
Ndoa nyingi siku hizi zinavunjika! Zinavunjika kwa sababu upande mmoja una feel hauwezi kubeba jukumu la ndoa!
Kwa nini?
Kwa sababu vijana wanaoa kama fashion, kuiga, kutafuta hadhi na...
Habari za wakati huu wanajamvi. Kama linavyojieleza swali hapo juu. Swali Hilo ningependa nilielekeze kwa sisi vijana jisia ya kiume.
Unapokua katika mahusiano na msichana ambae unamalengo ya...
Kazi kweli Kweli.. jumlishia na corona virus kichwa inaeza pasuka[emoji23]
ilikuwaje Siku unachezea ban Kwa Mpenzi wako Alie kuwa anaku Affords Kila kitu?
Maisha Yako yalikuwaje kwakipindi...
nakumbuka miaka ile y 90s niko zangu bush uko harakati kama zote.
one day natoka shule na mdada flani tufanye jina x. akasema anaumwa sana na anajikia vibaya kinoma kinoma.
mzee nikaingia zangu...
Habar za jumapil
Wapendwa samahan Kama nawachosha na maisha yangu binafsi naombeen mnisamehe nimapito tu ambayo ipo siku yatakua historia
Ipo hivi nimefanikisha kuachana na jamaa nimerudi nyumban...
Wananzengo tuelezane tuu ukweli, hakuna raha kama kumshuhudia mwanamke mnayetanangana naye akifika kileleni. Hivi utajiitaje kidume kama umepiga mtanange na mwanamke then atoke hajaona kibo na...
Miaka mingi kidogo tulitafuta kijana wa kusaidia shughuli nyumbani. Bi mkubwa alitaka kujana wa kiume kwakua mara nyingi si wajeuri kwa maelezo yake.
Kibaruani kwangu nilikutana na waajiriwa wa...
Baada ya kuachana kwa muda sasa Kylie jenner and travis Scott wamerudiana na kuendeleza mahusiano yao yalipoishia.
Hapa wangekuwa wabongo basi wangekuwa wamebadilisha wapenzi km ishirini tokea...
Aiseee katika pita pita zangu hapo kati nilikutana na mtoto wa kisukuma,sura black ila Shundu ndio lenyewe,
Zero nikakolea nikavuta ndani dadeki zake chapa kama siku tatu hivi mfululizo,
Sasa...
Kuna siku nilipita mitaa fulani,nilikuwa nimetoka kwenye harakati za mapambano ya maisha na uchumi.
Nilikatiza uchochoro fulani hivi mbele yangu nilikutana na Baba mmoja yupo na mtoto mdogo...
Dear members... J married In recent months and fortunately my dear wife is pregnant of about 2 months. The problem is that...she is too Jealousy.. Too lazy ....too warlike and quarrelsome...
JE MPENZI WAKO AMEWEKUWEKA KATIKA KUNDI GANI
FANYA Yoote Ufanyayo..Lakini Mwisho Unapaswa Ujue Je Mpenzi Wako Amekuweka Katika Kundi Gani Kati ya Haya Matatu?
KATIKA mapenzi kuna mambo mengine...
Habarini za wakati huu wadau na wapenzi wa MMU.
Binafsi nayaona mabadiliko makubwa sana katika uhusiano uliopo kati ya mwanaume na mwanamke. Katika uchambuzi wa vitabu vya fahisi, moja ya nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.