Eid mubark for all Muslims
Jamani kuna mwanamke nimezaa nae mtoto ila ki ukwelii simpendi hata asilimia moja daah na ni mzuri kweli ila simpendi ata lile pendo la kinafiki siwezi sijawahi...
Yani wanawake wengi walioolewa wanawakimbia waume zao, muda mfupi baada ya ndoa kufungwa, kama hapa mtaani ninapoishi, wanaume zaidi ya 4 wamekimbiwa na wake zao
Ukiwauliza hao wanaume sababu za...
HOW TO KEEP THE LADY YOU ARE DATING:
Do you love your girl and you don't want another man to snatch her from you? Then do the following things:
1. Give her plenty of attention. If you give her...
Kwa wanaume nikawaida iwapo atabahatika kumwona mwanamke aliyekaa vibaya na kuacha utamu nje lazima akaze jicho pale kwa muda. Pia kama mdada amevaa nguo kioo(transparence clothes) tukipishana nao...
Hizi mvua hizi na baridi si mchezo
Unajaribu kujiweka bize na shughuli mbalimbali lakini wapi, kichwa kidogo anamtaka mwenzie.
Unakunywa kahawa zaidi ya vikombe vitatu ili kuondoa baridi lakini...
Kwa kweli Mungu ni mwema sana na Namshukuru kwa siku hii ya leo. Imekuwa na changamoto nyingi sana hii siku ya leo ila najua nimezishinda na usiku umeingia hapa ni kwenda kulala tu hakuna...
1. Mwanamke mwenye sura na muonekano unaokupendeza daima
2.Mwanamke mwenye tabia njema za kupendeza (Wife materials)
3.Mwanamke anayeweza kukupa ATM na password yake ukatoe pesa zote za...
Nakumbuka kuna binti nilikua nasoma nae chuo wote tulmetoka mkoa moja nikatokea kumwelewa ila ndio vile tena demu alikuwa ana akili sana darasani yeye kamapani yake ilikuwa vipanga wenzake basi...
Natumai nyote wazima,
Ndugu zangu naomba msaada kutoka kwetu, ninapitia wakati mgumu sana. Mimi nimeolewa na nina watoto. Ndugu yangu ambae baba alimfanya machafu pia kashaolewa. Baba na mama...
Aliweka asali, pipi kifua, sabuni za kuua bakteria, ndimu, maji ya ukoko, shabuu vinginevyo mategemeo yake uke uwe mdogo na amridhishe mpenzi wake. Matokeo yake amepata madhara na kizazi kimeoza.
Habari wakuu,
Nimekuwa na binti katika mahusiano kwa kipindi kirefu sana (tangu akiwa form 2 mpaka sasa yupo mwaka wa 3 chuo kikuu).Aliamini mimi ndiye mume wake japo mimi sikuwahi kuamini kama...
Sisi sote ni uzao wa damu na nyama.. Uzao huu si kamilifu.. Hivyo makosa hayaepukiki popote
Makosa wanafanya wengi na kila mmoja wetu anakosea kwa viwango vyake.. Kuanzia udogoni mpaka ukubwani...
Wakuu nawakaribisha kwa serious talk
Kuna uzoefu flani wa maisha naukosa na hivyo naomba kuazima hekima zenu na uzoefu
Niko mkoa X , na niemeoa huku. Kwetu sisi ni mkoa Y mbali kwa mwendo wa...
Mchepuko unataka ujipandishe cheo..
Nashangaa ananipigia simu usiku, huku akiongea kwa sauti ya mahaba...akilalamika amenimisi na anahitaji kuja kuniona. Kiutani nikamwambia kama una nafasi we...
Mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa kwa miaka 13. Tuna watoto 3, miaka 12, 7 na 2. Tuna active sex life lakini tumekuwa tukitumia condom kama njia ya kupanga uzazi na kwa kweli imetisaidia sana kwa...
"Ewe mwanamke mtii mumeo"... "Nawe mwanaume mpende mkeo".
Wapi pameandikwa kuwa mwanamke apende?
Mwanaume anapenda na mwanamke anatiii.
Hii hulka ya wanaume kulilia kupendwa ni umama.
Yeye...
Tuwape Credit Leo wa ubavu Wetu Embu tuambie Nikitu gani unakipenda sana Kutoka Kwa Mpenzi wako
Mm nacho penda sana ni mwili wake Uko Very sex laini na unahamasisha kuutumia Kila Unapo hitaji...
Unajua kwa sisi wengine ambao tunatumia ndege kwa asilimi 80 ya safari zetu inafikia hatua ukapanda nasi unaweza sema ni staff.
Kwa mfano mimi ndege zangu ni Qatar Airways yaani hunitoi kwa hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.