1: Usiruhusu akuzoee kabisa maana ataanza kuongoza ndoa yenu
2: Asije akaona ukitabasamu hata kwa bahati mbaya
3: Usipende kwenda ukweni kwa sababu zisizokuwa za msingi
4: Mpigie simu tu pale...
Hellow
Hili jambo linanitatiza saaaaana
Kuna binti nimefahamiana nae kwa miezi kadhaa sasa, kiufupi tumeshakuwa wapenz rasmi kwa miezi hiyo almost mitano.
Binti ni mzuri saaaana, yuko loyal sana...
Habari wadau?
Moj kwa moja najitakita kwenye maada husika! Kuna mshikaji wangu kanifuata kuomba ushauri, lakin cha ajabu nimeshindwa kumshauri kabisa!
Kisa chenyewe kiko hivi: Mshikaji wangu ana...
Unajua ukisema neno mwanamke kimsingi hatuzungumzii kumiliki tu jinsia ya kike bali na hata haiba ya kike.... Ni sawa na neno computer, haiwezi kukamilika kuwa computer bila kuwa na hardware na...
Si ajabu labda umebakiza miaka 40,20,10 n.k ya kuishi hapa duniani,Je unatumia njia gani za kufurahisha nafsi ya uwepo wako hapa duniani? Au wewe kila siku uko bize tu unatafuta,bila kujipa faraja...
Kwa wale walioko kwenye ndoa tu,watupe majibu.....
Pale unapokutana na magumu au changamoto za kimaisha; kama uchumi, mambo ya kazi, maradhi, kesi n.k mtu wa kwanza kumshirikisha hali unayoipitia...
Wakuu,Kuna binti mmoja mwimba kwaya wa haya makanisa ya kilokole naona anajilengesha kwangu, sasa nataka nisipoteze muda wangu, nafikiria kumuomba mchezo but wasiwasi wangu asije akaanza kuleta...
“Kumpiga Mwanamke ni udhaifu, kwanini umpige Mwanamke wakati umemzidi nguvu?, kama unataka kupigana mtafute Mwanaume kama wewe mpigane,
nipo na Mke wangu Mama Janet kwa miaka 47 na sijawahi hata...
Yani upate mwanamke mzuri mwenye chura, unamtongoza leo baada ya siku 4 anakuja ghetto kwako, hakuombi hela bali anafanya usafi, anadeki, anakufulia nguo, anakupikia msosi mtamu, na papuchi...
Kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia yanayoendelea kukua kwa kasi, imekuwa ni changamoto kwa wazazi kutimiza majukumu yao ya malezi ipasavyo. Mabadiliko haya yameleta tofauti kubwa katika maisha...
1.A Ton Of Sex - Some people don’t like to admit it, but sex is an important part of a relationship. You might notice that issues or a lack of connection in a relationship happen at the same time...
Miaka ile mi bado mhuni nlikutana na member mmoja maarufu sana humu JF mcheshi mtu wa stories hasa jukwaa la MMU na Mambo ya Kikubwa.
Basi tukaanza fahamiana pembeni tukipiga stories kadhaa za...
Heri ya mwakampya wanaJF
kama kawaida, mwaka mpya na mambo mapya
nahitaji mwanamke aliyejitunza vema na bikra yake nije niibikiri na kumuoa kabisa
umri ni kuanzia miaka 23 mpaka 26
Dini yoyote...
Kuna binti wa chuo nimemfuatilia kwa muda mrefu wa miezi mitatu hivi. Kwa bahati nzuri leo nikakutana naye amekuja kusalimia kwao, nikamuomba kama utani hivi tukaongee kidogo gesti ya jirani...
Nimeona sehemu
UKUMBUSHO
Amekuomba urafiki facebook.
Umeangalia picha zake
Anaendesha Range
Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo
Umemkubalia urafiki
Amekutumia text inbox
Umemjibu...
Kuna memba mmoja humu alishawahi post uzi, akisema mwanamke sio ndugu yako ndugu yako ni watoto wako naanza kumuelewa
Katika pita pita za instagram nimekuta video huyo mwanadada anayeitwa wastara...
FAIDA 10 ZA KUISHI BILA MPENZI
1:Unalala vizuri
2:Hujali unavyoonekana
3:Hakuna sms usiku wa manane
4:Unaweza kuongea na yeyote
5:Utaishi maisha marefu bila kubughudhiwa na
mtu
6:Utaepukana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.