bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,682
Kwa wanaume nikawaida iwapo atabahatika kumwona mwanamke aliyekaa vibaya na kuacha utamu nje lazima akaze jicho pale kwa muda. Pia kama mdada amevaa nguo kioo(transparence clothes) tukipishana nao lazima shingo igomee huko unaweza ata ukajikwaa au kama ana kimlima huko nyuma.
Swali:
Je, na wadada huwa mko hivyo kama sisi wanaume? na kama ndiyo huwa mnazingatia nini hasa wakati wa KUPIGA CHABO?
Swali:
Je, na wadada huwa mko hivyo kama sisi wanaume? na kama ndiyo huwa mnazingatia nini hasa wakati wa KUPIGA CHABO?