Inakuaje mwanaume unalilia kupendwa?

Inakuaje mwanaume unalilia kupendwa?

mr vata

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2017
Posts
465
Reaction score
617
"Ewe mwanamke mtii mumeo"... "Nawe mwanaume mpende mkeo".

Wapi pameandikwa kuwa mwanamke apende?
Mwanaume anapenda na mwanamke anatiii.

Hii hulka ya wanaume kulilia kupendwa ni umama.
Yeye (mwanamke) anaangalia vitu... Hii hulka ya wanawake kupenda kuolewa au kuwa na mahusiano na watu wenye kipato kizuri ni la asili kabisa na wala tusiwalaumu maana wao wameagizwa kutii sio kupenda. Kwa hiyo atamtii yeyote anaempa mahitaji yake.

Mwanaume acha kulialia, tafuta pesa! Wanawake wanavutiwa zaidi na vitu vinavyokuzunguka, sio wewe! Una magari, majumba, balance ya kutosha hapo utaushinda moyo wa mwanamke.

Unaachwa na mwanamke kwa sababu huna pesa, badala ya kutafuta pesa unaamua kutafuta mwanamke mwingine wa kum replace yule wa mwanzo. Hapo umeongeza tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don't beg to be loved...wanaume hatuna cha kupoteza ktk maisha yetu,ndo mana tukapewa power ya kuhandle ata wnwke 4 kwa pamoja..
 
Wewe hii ndiyo habar uliyoiona kwenye chanzo cha habari ukaamua uiweke hapa kwenye habari na hoja mchanganyiko?
 
Back
Top Bottom