Wanaume, ukimsaliti Mwanamke huyu, utakuwa na laana

Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
3,510
9,348
1. Mwanamke mwenye sura na muonekano unaokupendeza daima

2.Mwanamke mwenye tabia njema za kupendeza (Wife materials)

3.Mwanamke anayeweza kukupa ATM na password yake ukatoe pesa zote za mshahara, kisha wewe ndiyo uzipangie matumizi

4.Mwanamke ambaye ukirudi usiku umelewa, umebeba na chupa za ziada za pombe, yeye anakufungulia mlango na kukupokea mizigo yako ya pombe na kukukiss akisema POLE MUME WANGU, anakupeleka mezani, anakubembeleza ule japo kidogo, anakupeleka bafuni, anakuogesha taratiibu, anakupeleka kitandani na anakubembeleza kwa kiss zito ili ulale

5.Unanuka miguu, soksi, viatu, P*U*Mbu, lakini yeye ndiyo kwanzaaaa yupo karibu na wewe kukupeti peti.

6.Mwanamke ambaye ukirudi kesho asubuhi anakuambia, POLE MUME WANGU KWA KUCHELEWA KURUDI.

7.Mwanamke ambaye anaamka mapema kuliko mtu yoyote ndani ya nyumba ili kuiandaa familia yake kuwa tayari kuondoka asubuhi...mf watoto kwenda shule na mume kwenda kazini.

8.Mwanamke ambaye akikukuta umepakia mwanamke mwingine kwenye gari lako siti ya mbele, anatabasamu na kusema IT'S OK BABY, kisha yeye anakaa siti ya nyuma.

9.Mwanamke ambaye anaweza kukuachia simu yake hata wiki mbili mfululizo..

10.Mwanamke ambaye hana gubu kwako, kwa dada zako, kwa kaka zako, kwa wazazi wako na ndugu wengine.

11.Mwwnamke ambaye anapiga goti na kukuombea upate riziki..

12..mwanamke ambaye hakupi mapenzi kwa kalenda..mfano kila mwisho wa mwezi.....yeye anakuachia tu ujisevie...akiwa anafua, anapika, anaosha vyombo, anadeki...wewe tu unaweza kumzuia na akakuhudumia kiutu uzima.

13.Mwanamke mcha Mungu.

14. Mwanamke asiyejua neno MGANGA, LIMBWATA......coz tafiti zinaonyesha wanawake ndiyo wanaongoza kwenda ugangani.

15.Mwanamke ambaye halalamiki hovyo...
16. Mwanamke anayekuaga na kurudi kwa muda mliokubaliana.

17.Mwanamke ambaye hakuombi hela (sidhani kama yupo kwenye sayari hii

18.M wanamke ambaye hana makuu ya kushindana na fashion mbalimbali

19.Mwanamke ambaye akikuta pesa kwenye suruali yako wakati anaifua, anakuwekea....Mmmh.

20.Mwanamke ambaye Ukiishiwa, yeye ndiyo anaongeza mapenzi na kukutia moyo kuwa kuna kupanda na kushuka katika maisha...


*****Mwanaume, kama una mwanamke mwenye vigezo hivyo 20 hapo juu, na bado unamsaliti au unamichepuko, ndugu yangu bila shaka wewe utakuwa binamu yake shetani..

.****NB...Na nyie wake zetu, tambueni kwamba mwanaume halali nje hata siku moja..mwanaume huwa anachelewa kurudi.
images.jpeg
 
Wanaume tabu sana kwakwel... Kila siku mwanamke awe hivi cjui vile au awe na sifa hizi cjui zile.. hivi huwa mmejiandaa kweli kumiliki mwanamke wa sifa hizo kwa kujikamilisha binafsi?? Au madhaifu wanaume mnaruhusiwa kuwa nayo ila mwanamke anapaswa kuwa amekamilika??? Nadhani mwanaume jikamilishe kwanza ndio utapata mwanamke wa sifa husika.
 
Wanaume tabu sana kwakwel... Kila siku mwanamke awe hivi cjui vile au awe na sifa hizi cjui zile.. hivi huwa mmejiandaa kweli kumiliki mwanamke wa sifa hizo kwa kujikamilisha binafsi?? Au madhaifu wanaume mnaruhusiwa kuwa nayo ila mwanamke anapaswa kuwa amekamilika??? Nadhani mwanaume jikamilishe kwanza ndio utapata mwanamke wa sifa husika.
Yes...wanaume lazima tuwakosoe sana wqnawake...

Mwanaume ni utukufu wa Mungu...
na mwanamke ni utukufu wa mumewe....soma maandiko..
 
Em ongea kwa sauti,.sijasikia vizuri hapo kabla sijaendelea namba 4 tafadhali
Namba 4 ndiyo hivyo akija usiku kalewa...mpokee chupa zake umuwekee ndani sehemu safi na salama....isiyo na joto ...

Hiyo namba 3 baba ndiyo kichwa cha familia.... mpe ATM card apange matumizi sahihi ya fedha.
 
Back
Top Bottom