Siku hizi kuna trend ya wanawake wengi kukimbia waume zao wa ndoa, shida ni nini?

AlphaMale

JF-Expert Member
Oct 26, 2019
613
1,401
Yani wanawake wengi walioolewa wanawakimbia waume zao, muda mfupi baada ya ndoa kufungwa, kama hapa mtaani ninapoishi, wanaume zaidi ya 4 wamekimbiwa na wake zao

Ukiwauliza hao wanaume sababu za kukimbiwa, hawatoi majibu ya kueleweka, hivi shida inakuwaga ni nini? Ndoa za sikuhizi zimekumbwa na janga gani?
 
Tatizo ni Pesa ambayo ndo sabuni ya roho!no money no honey
 
Mnalialia kama hivi. Kila siku mnaacha na kuachika taabu yote ya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwanamke aliwahi niambia angekuwa mwanaume asinge oa... Na aliniambia hivyo akiwa amebakiza mwezi tu kuolewa.

Hivi kwa mwanaume kunafaida gani kuoa??...

Mwanamke akiolewa anafaidika na vingi moja vitu hivyo ni huduma anayopewa na mume kiuchumi familia yake pia kupata backup kupitia mume n.k

Kama mwanaume sijaona ambacho unapata cha ziada sababu kama ni care unaweza pata hata kama hujaoa... Kula tunda, kupata watoto ni nini hasa sababu ya kuoa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani wanawake wengi walioolewa wanawakimbia waume zao, muda mfupi baada ya ndoa kufungwa, kama hapa mtaani ninapoishi, wanaume zaidi ya 4 wamekimbiwa na wake zao

Ukiwauliza hao wanaume sababu za kukimbiwa, hawatoi majibu ya kueleweka, hivi shida inakuwaga ni nini? Ndoa za sikuhizi zimekumbwa na janga gani?
Ni yupi kati ya hawa huwa mnatamani aletwe na upepo wa kisulisuli??..
IMG_20200122_003453_224.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanamke aliwahi niambia angekuwa mwanaume asinge oa... Na aliniambia hivyo akiwa amebakiza mwezi tu kuolewa.

Hivi kwa mwanaume kunafaida gani kuoa??...

Mwanamke akiolewa anafaidika na vingi moja vitu hivyo ni huduma anayopewa na mume kiuchumi familia yake pia kupata backup kupitia mume n.k

Kama mwanaume sijaona ambacho unapata cha ziada sababu kama ni care unaweza pata hata kama hujaoa... Kula tunda, kupata watoto ni nini hasa sababu ya kuoa??

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wanawake wote wanaopata matunzo, manyanyaso hayakshi. Huyo dada ni mjinga kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom