Mchepuko unataka ujipandishe cheo

Mchepuko unataka ujipandishe cheo

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,507
Reaction score
64,848
Mchepuko unataka ujipandishe cheo..
Nashangaa ananipigia simu usiku, huku akiongea kwa sauti ya mahaba...akilalamika amenimisi na anahitaji kuja kuniona. Kiutani nikamwambia kama una nafasi we njoo hata kesho...mara ananiambia inabidi utume kiasi fulani cha fedha ili niweze kuja.

Nikamwambia haina shida nikipata nitakutumia. Mara akaanza kutiririka...unajua nataka unioe na kabla ya kukuzalia mtoto inabidi unijengee kwangu.

Nikamjibu si unajua mimi ni mume wa mtu na kuongeza mke mwingine siwezi....mara akaja juu na kusema, unamuacha na unaishi na mimi; hapo hapo nikamjibu siwezi kumuacha mke wangu niliyepambana naye toka mbali kwa ajili yako, na nikakata na simu.Hawa watu tuishi nao kwa akili si waungwana.
 
Hata ww si muungwana kwa nn umemtafuta kama mkeo ni muhimu ? Hata yeye anataka hiyo nafasi ya kuwa mkeo.
Mchepuko unataka ujipandishe cheo..
Nashangaa ananipigia simu usiku, huku akiongea kwa sauti ya mahaba...akilalamika amenimisi na anahitaji kuja kuniona. Kiutani nikamwambia kama una nafasi we njoo hata kesho...mara ananiambia inabidi utume kiasi fulani cha fedha ili niweze kuja. Nikamwambia haina shida nikipata nitakutumia. Mara akaanza kutiririka...unajua nataka unioe na kabla ya kukuzalia mtoto inabidi unijengee kwangu. Nikamjibu si unajua mimi ni mume wa mtu na kuongeza mke mwingine siwezi....mara akaja juu na kusema, unamuacha na unaishi na mimi; hapo hapo nikamjibu siwezi kumuacha mke wangu niliyepambana naye toka mbali kwa ajili yako, na nikakata na simu.Hawa watu tuishi nao kwa akili si waungwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora huyo kuna wengine wanamueka adi mwanao dp nashindwa kuwaelewa kabisa.
 
Back
Top Bottom