Mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa kwa miaka 13. Tuna watoto 3, miaka 12, 7 na 2. Tuna active sex life lakini tumekuwa tukitumia condom kama njia ya kupanga uzazi na kwa kweli imetisaidia sana kwa kipindi chote hiki. Hivyo basi ndani kwetu huwa tuna weka box la condom na Tube ya KY. Kwa sababu tunatumia condom angalau mara 2 kwa mwezi tube ina moja tunaweza kuitumia mwaka mzima.
Tunatumia tube ili kuongeza utelezi maana mke wangu ni mkavu kiasi na kutumia condom bila kuongezea mafuta inakuwa karaha kwake.
Sasa jana nilipita dukani kutafuta tube ya KY maana tuliyokuwa nayo imeisha. Cha ajabu nimezunguka maduka yote ya pharmacy karibu yetu hakukuwa na KY Jelly.
Nilichoambiwa ni kwamba Wizara ilipiga marufuku kwa sababu eti zinatumiwa na wapenzi wa jinsia moja.
Hili jambo limenishangaza sana. Kwasababu.
1. Jelly hutumiwa na wapenzi wa jinsia zote hasa pale ambapo wanatumia condom. Kwa nini hawajawafikiria hawa wote ambao ni wengi?
2. Kuna wapenzi wa jinsia tofauti ambao pia wanatumia njia mbadala kufanya mapenzi, je hao wanalindwaje?
3. Kuondoa vilainishi ndo kutafanya watu waache kufanya mapenzi ya jinsia moja au inaweka kwenye hatari zaidi?
Nikajaribu kumuuliza msela wangu mmoja ambaye yeye ni mchepukaji mzuri...je anafanyaje? Akaniambia inabidi warumie mate. Sasa mate si ni hatari pia kwa afya hasa mwanamke? Maana mtu anaweza kuwa na maambukizi ya bakteria mdomoni halafu akamuambukiza mpenzi wake kwa njia ya mate. Nikajiuliza huwenda ndo maana magonjwa kama UTI kwa kina mama yameongezeka zaidi.
Kwa kweli hii ni hatari sana. Tunaomba wizara itengue haya maagizo na jelly ziendelee kuuzwa kama kawaida.