Habari za leo wana jf. Naomba kwa wale waliowahi kuwa na mahusiano sehemu za kazi mtupe uzoefu wa kipindi mapenzi yakiwa motomoto na kipindi yanapokatika.
Binafsi nina visa kadhaa vya mapenzi...
Mambo niliyojifunza kutoka kwa baba yangu.
Naamini sisi wote hapa kuna mambo huwa tunajifunza kutoka kwa wazazi wetu yaani ( Baba na mama) na wengine hujifunza baadhi ya mambo kutoka kwa walezi...
Nimegundua kwanini wadada mnaliwaga 0712.Nipo sehemu na mshkaji,ss Kuna Dada anajiskiaaaa.ujuaji mwingiii hadi anakera.Kudadadeki ningekuwa mie kingekoma leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za jumamosi wakuu
Nikiwa bado miguu imekufa ganzi nimeshindwa kutoka kitandani namuwaza huyu mwanaume wangu ambaye nilishaweka bandiko hapa kwa ajili yake.
Jana aliniaga anatoka na dada...
Habari wana jf natumaini wote ni wazima kama mada inavyojieleza hapo juu natafuta mshichana ambaye yupo tayari huanzisha mahusiano na hatimaye ndoa aliye serious kwa ajili ya kuanzisha mahusiano...
Wakuu mnaweza sema habari ya kutongozana ilishapitwa na wakati, sawa inaweza kuwa kweli ila kwa Dsm hata kumsogelea kumuongelesha mwanamke ni kazi ngumu.
Nakumbuka wakati nipo mkoani nilikuwa...
Habari zenu Wana JF.
Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ila bado sijafanikiwa kupata ajira.
Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli...
Salaam wakuu,
Straight to the point. Asilimia kubwa tumeshawahi kuumizwa katika maswala ya relationships, haijalishi jinsia ke au me. Unajikuta umejitoa kimasomaso kwaajili ya MTU ukiamini ndiye...
Hivi viumbe mi sivielewi kabisa, huwa wanajifanya kukataa udhalilishwaji lakini kiuhalisia sio kweli. Kuna mwandishi mmoja mkubwa amepost kuulizia maoni ya watu juu ya hili suala la Diamond...
Kuna Mtu kanishtua sana leo kwa kusema kuwa Wanawake wengi wanampenda kwakuwa huwa anawapiga Deki ‘ Uvunguni ‘ mwao anapokutana nao ‘ Faragha ‘ na Mimi nikashikwa na butwaa hasa nikiamini kuwa...
Hili tatizo nimekuwa tangu nilipoweza kuongea na wadada. Limekuwa likinisumbua sana na kunifanya nikorofishane na watu kufikia hatua ya kutokuongea.
Tatizo lenyewe liko hivi: Kuna wakati namuona...
Passionately speaking, the world have seen horrible spirit, and that is wuhan-400, every body is worsened and stomachs aches to every body than head aches,
I would like to firstly passionately...
Jamani ni jambo ambalo kuamini ni shida sana ukielezwa na mke wako akifanya Hivi...
Kulikuwa na Jamaa amepanga na mke wake sasa siku moja alichukua ndoo waliyokuwa wakitumia na mke wake akaenda...
Habarini za jioni wakuu.
Wakubwa heshima yenu. Eeh mimi napata tabu sana kwenye mahusiano hasa hasa linapokuja suala la umbali.
Mpenzi wangu yupo mbali kidogo (Arusha) , nimekuja huku Mtwara...
Waname wengi tangy waanze kushiriki Mapenzi wakiwa na umri wa miaka 20 na wakiwa kati ya kidati cha tatu au nne hadi wanafika umri wa kati ya miaka 33 na 35 huwa na idadi ya wapenzi tofauti...
Juzi mheshimiwa makamu kanitoa tongotongo hadi nikajiuliza miaka yote hii nimejibanabana kwa sababu gani?
Makamu amesema wababa hawana tabu sana wana coping mechanism wanapenyapenya huko, hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.