Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanajamvi habari poleni kwa wale tuliofungwa. Poleni pia wale mliokosa connection mjini kuchek ile vdeo iliyovuja. Hongereni sana Yanga. Hongereni pia wanawake Hivi jamani tunakoenda ni wapi kwa...
7 Reactions
69 Replies
6K Views
Tuliachana mda mrefu nilimwacha mimi baada ya kugundua ana mtu wak man alivyofik kwangu hakunambia ka ana mtu nilimpenda kupitiliza lakini nilivyogundua nikamwacha sasa huo mda tuloachana mimi...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa. Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40. Najitegemea nina kwangu na...
40 Reactions
200 Replies
30K Views
Tupe experience zako ilikuwaje Hadi ukachezea kichapo Kwa Demu wako ? Naulifanya nn je mliachana au Niaje Na till now unachezea kichapo Kama kawa? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
....watu walifurah sana, kunywa na kujikadilia misosi, kashere ako ako ka pongezi baads ya kumaliza level flani za masomo ikawa imeishia hapo. miungoni mwa wauzuliaji kulikuwa na dada mmoja wa...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Usiombe ukutane na iliyonona, kama una gari, nyumba au kiwanja unaweza ukakabizi. Hapa ndipo utofauti wa mtu na mtu ulipo. Na ukiipata hutotamani mtu mwingine aje akupiku, kutokana na ladha ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni jambo tu la kujiuliza na hii korona inayokuja je shughuli za uchakataji zitasitishwa? Maana ukicontact na mtu mwenye nayo tu imoo, Sisi mabaharia sijui tutaishije aiseee na hii Korona. Cc...
0 Reactions
2 Replies
965 Views
Nataka nifanye utafiti kujua hawa madada zetu wanaouza miili yao, maeneo mbalimbali Dar, je mchana wanashughuli gani? Nataka nitafute kama watano hivi nichukue namba zao za simu then mchana niwe...
3 Reactions
87 Replies
36K Views
Habari zenu wakuu! Niende moja moja kweny mada ! Nina toka na binti mmoja yapata miezi minne now tulianza mwezi wa 11 mwaka Jana, Ilipofika mwezi wa kwanza katikati akawa anadai hazioni siku...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwanza naomba nisihukumie kwa niyaliyopita. Maana wapo watu huwa mabigwa wa kufukuwa makaburi kuliko kujenga future. Kama vile wao ni watakatifu sana na hisitoria yao iko safi. SIO NIA YANGU...
1 Reactions
31 Replies
20K Views
Mke wangu anajisikia maumivu sehemu ya juu ya papuchi. Maumivu yanaanzia sehemu ya juu ya K Kupanda juu na sehemu ya Kati ya matiti Kwa chini kidogo. Maumivu husambaa mpaka na maeneo Mengine ya...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Kama kawaida ndo kumekucha hivi. Mmeamkaje? Wacha twende kwenye mada. Aloo kuna wanawake wanajua kupiga mizinga bwana asikudanganye mtu. Kinachonikosti ni huruma yangu nlionayo kwa wadada hawa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimezaliwa miaka ya 80 mwishoni na sasa nna familia na watoto wawili na ni muajiriwa. Nakuja hapa kumtafuta mzee ambaye ni baba yangu ambaye sijawahi muona na majina yake niliambiwa jina lake moja...
5 Reactions
45 Replies
6K Views
Naomba kufahamu hasa sababu ya kuwaoa wanawake. Yani kwa kifupi zipi ni sababu za kuishi na mwanamke iwe ni kwa kukaa nao au kuwaoa kwa harusi iwe ya kiislam kikristo au kimila na kiserikali?
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Leo nimeamka boksa imelowa kwa sababu ya usiku wa Jana chumba cha mpangaji mwenzagu wa kike alitembelewa na dume flani hivi. Sasa night, duuu! huyu dada alikua anatoa miguno ile ya kusisimua na...
11 Reactions
50 Replies
8K Views
Kuna kisanga kimoja kimetokea leo kazini kimenifanya nicheke sana..hii tabia ya watu KUTOWAAMINI wapenzi wenu then mkaamua kuwatafuta RAFIKI zenu WATEST uaminifu wa wapenzi wenu plz msije kulaumu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanawake wakisha poteza thamani wanatusumbua sana wanaume wanaanza kututongoza muda wote. Baby haziishi, muda wote baby kisa anataka ndoa Vyombo wale wengine si ndio tule makombo sio thubutu...
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Nina kiasi cha mahusiano ya kimapenzi ya miaka 10 ambacho nikipata utaalamu wa kuandika itakuwa series nzuri sana. Naomba muongozo kwa wenye uelewa katika anga hii. Kisa kiko hivi 1. Kumfahamu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wana MMU, Za siku mbili tatu kwa wale wahenga wenzangu akina Mr Rocky,Tized ,Tamatheo na wengine wengi wa zileee Enzi zetu Leo ninalo hili wakuu, Katika mambo ambayo nimekuwa nikiamini...
1 Reactions
49 Replies
6K Views
Back
Top Bottom