Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa mfano kabla hamjaanza mechi, demu anakuambia kabanwa kukata gogo.akitoka kukata hilo gogo huwa bado unakua na mzuka wa kumtia kama ulokua nao mwanzo? Mimi binafsi hii kitu imenishindwa,naona...
7 Reactions
46 Replies
802 Views
Kwa kweli hakuna kazi ngumu kama kudate na mwanamke wa Arusha, yaani hawajui kuwa romantic wala nini. Wapo kiselasela tu. Kama wewe mwanaume upo smart unaweza ukazani unadate na muhuni au malaya...
30 Reactions
270 Replies
17K Views
Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa...
50 Reactions
2K Replies
87K Views
NItasema kweli daima. Maisha ya u singo maza sio maisha. Uwe tajiri uwe masikini sio maisha. Najitahidi sana kuwa mke mwema ila naona haitoshi kwa mwanaume huyu aliyenitoa katika yale maisha...
53 Reactions
339 Replies
4K Views
Hawa viumbe, mbali na changamoto zao mbalimbali, wana baadhi ya sifa ambazo kwa kweli zinaweza kuwasaidia sana kimaisha. Sifa ya kwanza: Wanawake wanajipenda. Kihisia, kiuchumi na hata kwenye...
4 Reactions
13 Replies
186 Views
1. Wanakuwa na ugwadu wakati unawatongoza 2. Hawajatongozwa muda mrefu 3. Wanadaiwa kausha damu wanataka baada ya sex waombe hela 5. Wanaogopa kukupoteza Unaombwa mawazo yako huru ndugu mdau
4 Reactions
44 Replies
946 Views
Nimemfanya mke wangu kuwa kama rafiki, muda wote tukionana ni kucheka, kutaniana, kucheza michezo ya kukimbizana hapa na pale. Na kuna wakati mwingine ananitania, ''nikutafutie demu mkali...
29 Reactions
155 Replies
2K Views
YAani wanawake ni aibu kwa taifa. Tunaenda kutoa vitu vya muhimu kisa hamu ya mapenzi. MJue tu hili unaenda kwa mpenzi wako mkifanya mapenzi hapo ni rahisi kutumia nyota yako na riziki yako. Mf...
9 Reactions
35 Replies
437 Views
Wakuu Mimi na mchepuko wangu tuko dilemma. Kajifungua mtoto,ila hana uhakika ni wangu au wa mumewe as mtoto anafanana na yeye. Tunasolve vipi hii case wataalamu?
1 Reactions
26 Replies
319 Views
Sio kila mahusino lazima yafikie ndoa Napokea simu kutoka kwa rafiki yangu ,ananiuliza umemfanya nini shem? Nikauliza kwani kunanini akaniuliza uko wapi? Nikamwambia niko maeneo ya chuo ...
3 Reactions
14 Replies
203 Views
Imagine kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine wakati unaweza kuanzisha familia yako Kwanini ujiingize kwenye Mgogoro usiokuhusu? Una haraka sana ya kuoa? Umekosa mwanamks wa kuanza nae...
58 Reactions
400 Replies
4K Views
Ni ngumu sana mwanamke kukuheshimu ukiwa mwema sana kwake. Mwanamke anamuhesmimu mwanaume anaemuogopa. Hapa siongelei physical appearance, violence au abuse. Am talking about the respect that...
56 Reactions
125 Replies
6K Views
Siku za nyuma kuna member aliandika kuhusu mabinti wa chuo kikuu ambao wanafanya kazi kwenye mgahawa wa kuuza chakula wakiwa bado wanasoma. Members wengi waliwapongeza lakini ukiangalia cha ajabu...
20 Reactions
52 Replies
595 Views
Aliyewahi Kuwa Mpenzi Wa #50Cent (Jamira) Amewashauri Wanawake Kukataa Kuwa Na Mwanaume Kama #50Cent Akidai Kuwa Mwanaume Huyo Alikuwa Mchoyo Sana. #Jamira Anasema Tangu Alipokuwa Kwenye...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
HADITHI TAMU SANA YENYE MAFUNZO MAKUBWA! NAJUTA KUMPELELEZA MCHUMBA WANGU FACEBOOK 1 SEHEMU YA KWANZA “NAPOKEA FRIEND REQUEST” Ilikuwa Jumapili nikiwa nimetoka ibadani nimetulia tu kitandani...
0 Reactions
4 Replies
195 Views
Kwa sasa hali ilivyo, kufahamiana na mdada, mkapeana namba za simu, hata katika mazingira official ni tatizo. Ukisalimiana naye, mkachat mawili matatu whatsaap, next move, mizinga. Kwanza anaweka...
12 Reactions
66 Replies
1K Views
Wakuu hii sofa ina kazi gani?
4 Reactions
39 Replies
912 Views
Habari zenu wakuu, niko kitandani hapa nikiwa na masikitiko makubwa sana kwa kulala na mke wa mwana JamiiForum mwenzangu. Huyu mwanamke nilikutana naye facebook, chanzo hasa mpaka cha kukutana...
17 Reactions
127 Replies
9K Views
Nimekuwa nikijiuliza kila mara ni kwa kiwango gani mtu anaweza kujitoa kwa ajili ya mwingine. Wakati mwingine watu tunaowadharau au kuwaona hawana thamani ndio wanaoweza kubadilisha maisha yetu...
7 Reactions
31 Replies
691 Views
Back
Top Bottom