Habari wakuu,
So, nimekumbuka hili jambo nikaone nishare kupata na kuelea mitazamo tafauti.
Wikendi hii nilipata fursa ya kwenda maeneo fulani na pia nilibahatik kushuhudia harusi ya jamaa yetu mmoja wa kitambo sana.
Nilipata nafasi kushuhudia wakifunga pingu za maisha kanisani na baada ya hapo tulifika location ya wao kufanya photo shoot kama kumbukumbuku ya siku yao mpya.
Ajabu location tuliyoenda nilishuhudia karibu harusi saba zilikuja hapo kwa ajili ya photo shoot, wakati nikishangaa mpiga picha akanambia yaani unashangaa ni harusi saba, kuna siku hadi kumi tano zinafika kwa siku maana ni location pendwa.
Nilishangaa sana maan mimi kila nikikaa na majamaa zangu wa kazini yaani stori zteu mwelekeo ni kama hakuna mwenye matarajio ya kuoa au kuolewa hivi karibuni, yaani ni kama mitano tena
Sasa nimebaki nikijiuliza au ni mimi ndo nina mtazamo wa kihafidhina kuhusu kuoa au kuolewa?