Nasian Ressy
Member
- Jul 12, 2026
- 69
- 153
Ingawa mimi nmetoka bongo sitaman kudate wa bongo maana wana maushamba sana na tena sio warembo kama wazungu wananiboa sana.wana show mbovu sana.
Wewe hupendi wazungu umuunge mkono?Kwa hiyo?
Amuunge mkono tena? Amuunge mb**0.Wewe hupendi wazungu umuunge mkono?
Leo umekunyw nini shindiiWewe hupendi wazungu umuunge mkono?
🤣🤣 mbegeLeo umekunyw nini shindii
Usichati shindii🤣🤣 mbege
Mie sina madhara.Usichati shindii
Nikiona mzungu yupo uchi hata sishtuki, tofauti na mweusi mwenzangu.