watu wana stress za kunyimwa huko majumbanUjue nimeshangaa!
Hivi Uzi mtamu kama huu unakosaje wachangiaji?
Kuna Kila dalili kiwango cha nguvu za kiume kimporomoka vibaya.
Al-mukheef.
Mume ananyimwa kitu halafu asubuhi akienda kazini house boy anapewa kitu.watu wana stress za kunyimwa huko majumban
wafute jukwaa lote huwez kusema jukwaaa ni la mahusiano,mapenzii.. Alafu tukiweka mada za penzi ufuti, huyo ataefuta uzi huu naenda polisi kumstaki ameninyanyapaa,hiyi kesi itafika hadi kwenye asas za haki za kibinadamu usichukulia poa mzee,nyuzi za kufutwa