Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, ASP Christer Kayombo, amewashauri vijana kuacha kuhalalisha vitendo vya zinaa kabla ya ndoa halali, akisisitiza kuwa kufanya...
1 Reactions
5 Replies
78 Views
Nchini Nigeria sheria inawaruhusu wanawake kuwashtaki wanaume kwa kuvunja ahadi ya ndoa ikiwa uchumba utavunjika. Jambo hili huchukuliwa kama mkataba wa kisera (civil contract), mwanamke anaweza...
3 Reactions
0 Replies
34 Views
Habari jf mimi nina umri wa miaka 40 sasa, ni member wa jf mda tuu ila nimekuja na id hii mpya kuleta kisa changu kilichonikuta na uhamuzi niliochukua. Mimi ni mmoja wa wapondaji sana wa single...
220 Reactions
587 Replies
68K Views
Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla...
88 Reactions
399 Replies
5K Views
Hawa si wengine bali ni mitume na manabii wa uongo (sio wote, namaanisha mitume na manabii wa uongo) Utawambuaje? Hawatoi bali wanapokea Hawafuati bali wanafuatwa Hawachangi bali wanachangiwa...
62 Reactions
235 Replies
38K Views
Mambo vipi wakuu! Kazini unaweza kukutana na watu unaocheka nao, mnakunywa chai pamoja, mnaongea mambo ya maisha na hata kusaidiana kwenye changamoto. Lakini usisahau kwamba mazingira hayo...
8 Reactions
12 Replies
210 Views
Nadhani hii sio mimi pekeangu, kuna jamaa ukimuangalia hadi unamuonea huruma, unajiuliza " hivi huyu atapata mpenzi kweli ?" . Ukweli wanawake wanahuruma sana , na kama isingekua hizi sifa za...
19 Reactions
105 Replies
2K Views
Binti huyu wa tz ni mrembo sana.waatalam wamemtengeneza mno.hata madem huk bongo wanamuoneya wivu kisa yy n mrembo kwa waliko.choku wa kenya haisomi namba hapa.
2 Reactions
24 Replies
340 Views
Nakumbuka mwaka 2017 nilipata nafasi fulani ya kwenda mahala kujifunza masuala ya ufugaji.Ilikua ni programe imeandaliwa na mahali pangu pa kazi. Tulivyofika Kule singida tulikutana watu kutoka...
20 Reactions
45 Replies
3K Views
Mwanaume mmoja amebakwa katika barabara ya daraja lenye shughuli nyingi mjini Newcastle baada ya kukubali kupanda lifti ya mtu asiyemjua. Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 24 aliingia kwenye gari...
1 Reactions
56 Replies
13K Views
Sasa ni harakati za kufunga ndoa na kipenzi changu na ndoa tunaifungia ujeruman sio bongo. Asante sana my sweet husband.
1 Reactions
4 Replies
128 Views
  • Redirect
KAMA BABA MWENYE WATOTO. KIUKWELI SITABARIKI KIJANA WANGU AKINILETEA BINTI SINGLE MOTHER. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba. Miaka yote nawafundisha Moyo usishinde Akili. Bali Akili ndio...
2 Reactions
Replies
Views
Gesti house ndio kisababishi.. Kuzimu ndio kichocheo, tamaa za ngono ndio chanzo.... Kuna mada tumeijadili kwa mapana yake... Mada ya watoto wa kuzimu.. Jinsi shetani kupitia mawakala wake...
18 Reactions
136 Replies
16K Views
Habari wanajf Huwa ninashangaa kuona kijana asiye na mtoto hujitwisha mzigo mkubwa wa kiasi hicho. Mimi nimewahi kudate na single mother muda wa miaka Kama 2 hivi niliona rangi zote kwa kweli na...
23 Reactions
125 Replies
3K Views
Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. Ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo sasa hivi Akina mama...
8 Reactions
88 Replies
985 Views
Mwaka 2008 niliingia Durban baada ya kuitwa na jamaa zangu waliokuwa huko. Hawa jamaa zangu tuna undugu pia. Kaka yao kaoa shangazi yetu, na pia kaka yetu kaoa dada yao, ni kama tumeoleana, wao...
90 Reactions
4K Replies
1M Views
Da Pipi nina dukuduku langu Mimi Kuna wafanyakazi wawili wa kike napofanyia kazi wananilazimisha kudate nao yani nipige na hadi wamegombana hawa wote ni singo mama wa watoto watatu kila mmoja Mm...
3 Reactions
14 Replies
300 Views
Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya...
149 Reactions
2K Replies
268K Views
Imagine ungekuwa na uwezo wa kugundua kuwa mwezi ujao mpenzi wako unaempenda kwa dhati atakuacha na atakutangaza hadhari kuwa kakupiga cha mbavu. Hapo the smartest move ni wewe kumuacha mapema...
6 Reactions
11 Replies
197 Views
Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana. Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini...
14 Reactions
9K Replies
659K Views
Back
Top Bottom