Niaminini mimi, hakuna ndoa ngumu. Wagumu watu

D_Mshauri

Member
Joined
Jul 26, 2026
Posts
26
Reaction score
15
Habari zenu ndugu wa MMU. Mnikaribishe na humu pia maana humu ndio kutakuwa jikoni kwangu. Nataka nitibu ndoa nyingi na mahusiano mengi iwezekanavyo kupitia makala zangu, vitabu na mbinu yoyote ile ambayo ni sahihi. Kama yupo anayebisha basi huyo ndio shida yenyewe.

Hivyo kwa kuanza naanza na kauli mbiu kuwa Mungu alimuumba mwanamke toka ubavu wa mwanaume ili awe karibu na moyo wake na sio miguuni pake.

Kama uko nami gonga likes na uweke mawazo yako hapo
 
Umeoa kwanza? Usije ukaleta nadharia kama za waandishi wa vitabu vyenye kuhamasisha watu juu ya utajiri na wao hata ya vocha wanapiga mzinga
 
Weka humu 🗑️
 
Kwanini MUNGU alimwambia....
Nabii Elijah¡ asiwe na mke... tuanzie hapa!
 
Kuna yule dokta alikuwa anajifanya bingwa wa kuijua ndoa kwenye tv,mwisho na yeye yakamkuta.
Ndoa Haina mjuzi Wala formula,ni bahati tu
 
Habari zenu ndugu wa MMU. Mnikaribishe na humu pia maana humu ndio kutakuwa jikoni kwangu. Nataka nitibu ndoa nyingi na mahusiano mengi iwezekanavyo kupitia makala zangu, vitabu na mbinu yoyote ile ambayo ni sahihi. Kama yupo anayebisha basi huyo ndio shida yenyewe.

Hivyo kwa kuanza naanza na kauli mbiu kuwa Mungu alimuumba mwanamke toka ubavu wa mwanaume ili awe karibu na moyo wake na sio miguuni pake.

Kama uko nami gonga likes na uweke mawazo yako hapo
Kwani ndoa wanafunga wanyama? Watu siyo wagumu, ndoa ndiyo ngumu, wewe kama bila ndoa tuone kama utakuwa ngumu.
 
Umeoa kwanza? Usije ukaleta nadharia kama za waandishi wa vitabu vyenye kuhamasisha watu juu ya utajiri na wao hata ya vocha wanapiga mzinga
Nina ndoa mkuu. Hilo usiwe na shaka. Nitaweka nadharia na uhalisia pia
 
Kuna uwezekano huja oa, ukaona yaliyomo ndani au basi umeoa goli kipa....
Hata hivyo ndoa ingekuwa rahisi kama unavyofikiri.....
1. Talaka/ Kuachana/ kutengana hakungekuwepo
2. Baadhi ya viongozi wa dini hawange acha kuoa...
3. Watoto wa mitaani hawangekuwepo (kwani watu wangetulia kwenye ndoa zao).
4. Single mothers hawangekuwa wengi
5. Hivi unajua kwa nini wanaume wali usiwa kwenye Biblia waishi na wanawake kwa akili?
 
Ongeza 6. Kusingekuwa na Machangudoa Wengi miTaani na Michepuko kila mahali
 
Mada kama hizi hatuwaoni wa ubavu mwingine; kwanini inakuwa hivi?
 
Yale yale ya SOCIAL AND MEDIA MOTIVATORS!
HOVYO KABISA KABISA KABISA...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom