Habari gani kwenu wakuu? Najua mapambano bado yanaendelea, hakuna kukata tamaa..
Kuna uzi niliwahi kushare humu kuhusu huyu mwanamke wangu kuwa na tabia ya kushare mambo yetu ya faragha kwa...
Kwa mujibu wa mtu mmoja aliyejulikana kama pawa mabula,mtu aliyeganya maonesho ya nguvu zake miaka ya nyuma zilizokuwa mithili ya nguvu za Samsoni wa kwenye biblia,ni kwamba yeye binafsi alitumia...
Maharusi wa siku hizi pasua kichwa. Kuna wakati unatazama hizo video unabaki kukuuliza hawa maharusi waliwaza nn?
Mtu anamsifia mwenza wake mpaka unaona soo aisee. Bora kunyamaza kuliko kusifia...
Kuna mambo kwenye mahusiano ukijaribu kuyatumia kwa kanuni za kawaida za hesabu unaweza kuchanganyikiwa sana! 😅
Hebu tuanze:
1. Akisema: “Sina njaa.”
Haimaanishi hatakula. 😂
👉 Hiyo inaweza...
Kuna jamaa yangu kanishirikisha kisa chake na mkewe ili nimpe ushauri.
Kisa chenyewe ni hiki,huyu jamaa yangu alisafiri kikazi huko mkoani akakaa kama wiki tatu hivi.
Sasa karudi juzi home kwake...
Rapa Rosa Ree katika mazungumzo na Saditz Official ameweka wazi kuwa baba mtoto wake haonyeshi ushirikiano hivyo hawezi kumlazimisha kufanya jambo kwani ni jukumu lake na pia hawezi kumzuia...
Imagine unakaa na mtu wako unashika simu yake unagundua kwamba anabeti na ni gwiji kabisa ,fundi wa kusuka mikeka , unakuta betting slips kwenye simu yake, mpaka walpaper yake amemueka Bukayo Saka...
Baada ya kufanikiwa kubadil jinsia kutoka wa kiume hadi wa kike.nahisi kuwa na furaha sana maana maisha ya ukiume nilikuwa nayachukia sana ila sasa nnafuraha maana waatalam wamenibadili plus...
Wananzengo mnaendeleaje poleni na haya yanayoendelea.
Niende moja kwa moja kwenye mada.Jamani nadhani mnafahamu swala la wivu wa mapenzi lilivyojanga kwa jamii hasa linapokuja swala la kushuku...
Nimeona thread za masingo maza sana siku hizi, nyingi zikiwa zinawakandia sana.
Muda mwingine unatamani kuwatetea lakini kama umeshawahi kuwa na single mother bas ni ngumu sana kuwatetea. Single...
Kauli HIZO amezitoa mwenyewe Civilian-Coin akikanusha kuwa hajawahi kukutana Wala kuonana na watoto wa Rais mstaafu wa marekani Barack Obama na Hana mpango huo labda nafsi ikifunguka.
Ngoja tu nianze kwa kusema, This is all "Allegedly".
Observation yangu ni kwamba vijana wengi wa kataa ndoa asilimia kubwa ni vijana wa kikristo, au wana background ya kikristo au ni atheists...
Hivi kuna ukweli katika maoni kwamba wanawake ambao wameolewa au waliwahi kuolewa wake wenza mara nyingi huwa na hasira kali sana ya kisasi? Inasemekana kadiri walivyokuwa chini kwenye uke wenza...
Baada ya jamaa yangu mmoja kusisitiza anataka mke wa Kiyebusi nikamuunganisha na huyu dada anaitwa Vasavadatta anatokea huko Udayana Kingdom.
Jamaa amenipigia simu akilia nimwombee msamaha kwa...
Kwa mfano kabla hamjaanza mechi, demu anakuambia kabanwa kukata gogo.akitoka kukata hilo gogo huwa bado unakua na mzuka wa kumtia kama ulokua nao mwanzo?
Mimi binafsi hii kitu imenishindwa,naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.