Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika uhusiano, mwanamke hawezi kujivunia mwanaume kwa sababu tu ya sura yake au uwezo wake wa kifedha. Mara nyingi, fahari ya mwanamke hutokana na namna mwanaume alivyo, kile alichonacho na...
8 Reactions
11 Replies
288 Views
Eti mnasema what a man can do a woman can do it better.huu ni uwongo wanaume ss ni kichwa nyie shingo.
1 Reactions
4 Replies
37 Views
MWANAMKE AKIDAI MTOTO NI WAKO YEYE NDIYE MWENYE WAJIBU WA KUTHIBITISHA NA KUGHARAMIA GHARAMA ZA DNA. IKIBAINIKA NI WAKO, MNAGAWANA GHARAMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanamke ambaye...
0 Reactions
2 Replies
53 Views
1. Ni wanawake wenye dedication kwenye mapenzi na ndoa 2. Hawapendi kufanya kazi ila wapo vizuri kwa kazi za Kitandani tu 3. Wengi wanaweza kuwa na sura nzuri ila maumbo si sana. 4. Wanajua sana...
10 Reactions
51 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanajf, Hili ni jambo linaloumiza akili yangu sana. Sipo kwenye mahusiano yoyote rasmi ila kuhusu uzinzi kila nikitaka kuita dem gheto najikuta nina dilemma hii kubwa. Je ngono...
17 Reactions
183 Replies
2K Views
Baada ya kutoweka JF kwa miaka 2 nimeamua kuja sasa na Id mpya Mazishi yangu nimeimiss sana JF yetu pendwa.
0 Reactions
1 Replies
28 Views
Kutokana na misemo kadhaaa na kupitia baadhi ya nyuzi humu ndani, kuhusiana na jamii hiyo sijaamini nilichokutana nacho. Nimeoa mwanamke mmoja Mrangi, keupe haswa. Kutokana na wanavyosemwa...
22 Reactions
118 Replies
11K Views
Kwanza ijulikane kuwa kuna aina mbili za wanawake, wanawake wanaojiheshimu, wanaojithamini na kutunza utu wao kwenye jamii (wife materials) na wanawake wengine wote waliobaki. Wanawake wengine...
11 Reactions
56 Replies
12K Views
Kuna kitu kinaniumiza sana kwenye mahusiano yangu, lakini sijui kama mimi ndiye ninayefikiria sana au kweli kuna tatizo. Mpenzi wangu siku hizi hanipi muda kabisa. Nikimpigia simu mara nyingi...
11 Reactions
73 Replies
587 Views
Yaani unakuta mtu anamiaka 42 alafu anamahusiano na mwanamke ana miaka 48 alafu anasema anamiliki mshangazi ....!!!!! Huyo si mzee mwenzie tu... Mshangazi aitwe na vijana wa miaka 18 mpaka 35...
2 Reactions
21 Replies
157 Views
Ukimtazama mwanamke kwa kumtamani, tayari umefanya naye uzinzi moyoni. Yesu Kristo alitoa onyo hilo zito kuhusu dhambi ya uzinzi usioonekana kwa macho ya kawaida lakini unaotekelezwa ndani ya...
17 Reactions
98 Replies
3K Views
Naulizia ule upendo unaopenda toka moyoni Kwa Nia ya dhati. Ule upendo ambao hauangalii una Nini au we ni nani au ukoje,unaakuangalia moyo wako. Unaowaunganisha watu Kwa mioyo Yao na sio walivyo...
16 Reactions
233 Replies
1K Views
Ni stress kwa kweli... late night calls maana ndo katoka kwenye mambo yao A lot of Dm za mabinti duhh am going to ruin this tooo... Siwezi kwa kweli how unaweza dili na mtu wa namna hii
10 Reactions
28 Replies
699 Views
Mimi mwaka juzi nilikua natoka kimapenzi na mdada flani hivi,sasa huyo mdada alikua na best yake,nikawa namzunguka namla na best yake,so kwa kifupi nikawa nawala marafiki walioshibana kwa wakati...
8 Reactions
16 Replies
392 Views
Salam sio kipaumbele sana. Kiukweli hawa mabinti wanastahajabisha sana, eti unamleta ghetto ambalo maji yapo ya kutosha tu, lakini unamchimba vilivyo, mwisho unamuonesha bafuni akatoe vumbi ili...
8 Reactions
44 Replies
1K Views
WATIBELI TUNAJUA PESA INAUMA KULIKO MAPENZI NDIO MAANA HATUMGHARAMIKII MWANAMKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana waliowahi kuwasiliana na mimi kila mara nawaambia kwenye mahusiano, pale...
6 Reactions
8 Replies
139 Views
Thamani yako kwake inategemeana na Kiasi cha hofu aliyonayo. Asipokuwa na hofu atakutreat vyovyote atakavyoona inafaa. Haya ndiyo mambo utakayoyafanya Kukusaidia uweze Kumtengenezea hiyo hofu. 1...
13 Reactions
54 Replies
721 Views
Kuna wadada ambao ukiwa nao karibu, utagundua wana moyo wa tofauti. Ni watu wanaojali, wanasaidia pale wanapoweza na huwa hawapendi kumuona mwingine akiteseka. Lakini cha kushangaza, mara nyingi...
1 Reactions
10 Replies
118 Views
Kichwa cha uzi chahusika, nipo kwenye sherehe ghafra wazo la ujinga limeniingia. Nasikia na kushuhudia watu kwenye mitandao wakilalamika kwamba mke aliyeolewa anaweza kukubali kuingia kwenye...
3 Reactions
14 Replies
185 Views
Back
Top Bottom