😊😊😊 Samahani kwa wale wenye mrengo wa kushoto, wanaofurahia nyuzi za maumivu kila wakati, kama tuletavyo masaibu yetu basi upande wa pili huwa kuna chembechembe za raha.
Unajisikiaje wewe...
Habari za wakati wana MMU? Natumaini uzima na usalama upo licha ya hili janga linaloisumbua dunia kwa sasa, poleni na tuzidi kujikinga na kuwakinga tuwapendao tukiendeleza mapambano ya kulishinda...
Kuna siku nilikuwa ugenini na mrembo mmoja matata full chura kama kawaida yangu. Kabla ya kwenda alinishawishi niweze kufika nami nikamuhahidi nitafika siku ya ijumaa jioni.
Basi siku hiyo...
Hapa ndio wabongo wengi wanafeli hasa akina Dada ambao hamjaolewa
Ukinichukia Sawa ukiniita old school Sawa maana hapa Nina Miaka 63, nawasaidia Kupunguza malalamiko ya wanaume
Kihalali kabisa...
Hebu acheni ujinga wa kutuchangisha michango ya harusi wakati hakutakuwa na sherehe yeyote kwa mwaka mzima huu. Kama kuna ulazima wa sherehe basi hamtazidi watu kumi
Sasa MC, buffet, DJ, Ukumbi...
Wanawake wa kileo wengi ukimtongoza leo na anakuambia shida hapo hapo. Na wengi hawaolewi kwa visa hivi. Fahamiana na mtu kwanza na mengine yataendelea.
Wengi mnaingia mtegoni kwa ku-expose...
UTAKAPOOA/KUOLEWA USISAHAU MAMBO HAYA
Na, Robert Heriel
Kwa Wanangu, damu yangu, watu wa kabila langu, taifa na jamii yangu, Muishi vyema sawa sawa na mipango ile tuliyoijia katika Ulimwengu...
Kijana wa kiume kukaa nyumbani bila kazi ni tatizo,jitahidi awe anafanya kazi yoyote ile ya kumpa uchovu. Hata kama hajapata kazi au shughuli rasmi, ni bora umpatie hata shughuli za kusafisha...
Kuna hiki kislay queen huwa nakinyanduaga mara nyingi sana hapa kwangu,kwa muda tuliokuwa pamoja mpaka sasa na vile tulivyozoeana inatosha kusema kabisa kwa sasa sisi ni wachumba Sugu,
Kiukweli...
Naomba nipate ufafanuzi kwaabinti hivi shida huwa inakuwa ni nini pale uanapokutana sehemu za starehe na mwanaume kama bar,grocery anataka mkae mule wote, na mnywe wote na mwanaume na kumwambia...
Mambo zenu Wana MMU
Aisee hii korona ina viroja vyake Leo asubuhi nikasame niache huu upagani niende kanisani nikiwa na hungover zangu nikachagua kigauni changu kizuri nikipendacho sasa nimefika...
Mambo vipi ladies and gentlemen. Hope mko poa, me too. Moja kwa moja kwenye mada.
Nina bro wangu kipindi cha nyuma kuna mahali alikuwa anapenda kukaa na kunywa bia mbili tatu kila akitoka kazini...
Jamani habari wakuu,
Natumaini mpo poa kuna jambo nataka kujua kutoka kwenu hasa kwa wale wanaume wenzangu mliopatwa na jambo kama hili.
Hivi ikitokea umezaa na mwanamke flani mtoto na mmedumu...
Hello everyone,
This is to inform you that there exists a vacancy for a young beautiful lady who is looking, willing and committed to settle down and begin a family.
I am a young Christian man...
Kila mji hapa Tanzania,hasa mza,dar,arusha,na hata iringa,wanawake sasa wanasagana tena wanafanya waziwazi,pia kwa sasa unapomtongoza demu anakueleza wazi kuwa anakueleza anakukubali ila uwe...
Habari wakuu,
Kuna baadhi ya wasichana wakitongozwa huwa ni wagumu sana kumkubalia mwanaume na wakimkubalia huwa wagumu kutoa penzi na hizi zifuatazo ni baadhi ya siri zao wasichana wenyetabia...
Habarini bandugu marafiki zangu wote na wasio marafiki pia.
Naingia kwa ujio kama alivyokuja Raisi Obama kimkuku kuku na wakiana kwa leo wapendwa wangu
marafiki zangu ninaingia kiimani zaidi na...
Kwa wapenzi wa Bibilia. Huu ni mfumo ulioasisiwa na Mungu ili kukamilisha familia.
Kiongozi wa Nyumba ni Mwanaume.
huu sio unyanyasaji, ubaguzi, upendeleo bali ni kanuni inayokamilisha familia...
Wadau tujipe pole kwa korona, hatari sana..nimeona clip kuna madaktari wamebadilika rangi na kuwa weusi bada ya Kupata korona. checkini hiyo link, tujiahidi kufata masharti.
Back to point nna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.