Mtoto wangu anamiaka 4 lakini hatufani kabsa.. Nipime DNA kimyakimya au Nimuulize? wife

Lakasa chika7

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
454
1,261
Wadau tujipe pole kwa korona, hatari sana..nimeona clip kuna madaktari wamebadilika rangi na kuwa weusi bada ya Kupata korona. checkini hiyo link, tujiahidi kufata masharti.

Back to point nna ndoa ya miaka 3, na tuna mtoto 1, But mtoto wangu na mimi hatufanani hata kidogo, yaani hata masikio nashindwa kuelewa.. Nahisi kuna kitu watu wa karibu wanajua sema hawasemi. Nashindwa kumuuliza Wife namuonea aibu sana..ni mtulivu sana..sasa sijui maana huyu mtoto tulimpata kabla ya ndoa.

Atakuwa amefanana na babu/bibi yake kizaa mama hivyo usiwe na wasiwasi. Endelea tu na malezi maana hata hivyo kitanda huwa hakizai haramu.
 
Wadau tujipe pole kwa korona, hatari sana..nimeona clip kuna madaktari wamebadilika rangi na kuwa weusi bada ya Kupata korona. checkini hiyo link, tujiahidi kufata masharti.

Back to point nna ndoa ya miaka 3, na tuna mtoto 1, But mtoto wangu na mimi hatufanani hata kidogo, yaani hata masikio nashindwa kuelewa.. Nahisi kuna kitu watu wa karibu wanajua sema hawasemi. Nashindwa kumuuliza Wife namuonea aibu sana..ni mtulivu sana..sasa sijui maana huyu mtoto tulimpata kabla ya ndoa.

Wachina walivyo wa hajabu, kwa kuwa huyu Daktari kafanana na mtu mweusi basi atachomwa sindano afe upesi.
 
Wanawake waongo, fake ndo wanaongoza kwa kuolewa, wakiziba nafasi za wanawake waaminifu waliojitunza. kama una bias nakushauri nenda kapime DNA ni sh 500000 tu.

1: nachojua mtoto Wa kwanza 90% lazima afanane na baba awe wa like au wa kiume, lazima kitu Fulani afanane na baba sura ikishindikana

2: sikatai mwanaume asilee mtoto ambae sio wake lakini, ( mm mwenyewe naweza kulea mtoto wa kambo vizuri tu baba yake akinoweka wazi) kwa nini Mke amfiche Mme wake? Maana kuna wanaume wema ukimwambia ukweli mnafanya siri mtoto mnalea bila ndugu kujua.

3: who knows? Dunia sio fair hii anaweza mlea akishamsomesha litokee la kutokea libaba lingine lije kumchukua.😁😁😁😁

4: lakini pia anaweza kuwa wako kwa kumfanana mama yake.

5: jilizishe wasikutishe na kupima bila mkeo kujua inawezekana, chukua nywele zake na zako. 😀😀

6:ushauri majibu yakitoka tofauti,kwamba sio wako una chaguo mbili tu.
- piga kimya umlee kama wako
- mwambie mkeo ukweli na mtoto mleeni hapo kwenu bila kuwaambia ndugu.

Watakao sema Nina roho mbaya karibu.
 
Mwanaume unamuoneaje mke wako aibu? kama vipi achana na hiyo ishu maisha yaendelee huenda baadaye akafanana na wewe.
 
Wanawake waongo, fake ndo wanaongoza kwa kuolewa, wakiziba nafasi za wanawake waaminifu waliojitunza. kama una bias nakushauri nenda kapime DNA ni sh 500000 tu.

1: nachojua mtoto Wa kwanza 90% lazima afanane na baba awe wa like au wa kiume, lazima kitu Fulani afanane na baba sura ikishindikana

2: sikatai mwanaume asilee mtoto ambae sio wake lakini, ( mm mwenyewe naweza kulea mtoto wa kambo vizuri tu baba yake akinoweka wazi) kwa nini Mke amfiche Mme wake? Maana kuna wanaume wema ukimwambia ukweli mnafanya siri mtoto mnalea bila ndugu kujua.

3: who knows? Dunia sio fair hii anaweza mlea akishamsomesha litokee la kutokea libaba lingine lije kumchukua.😁😁😁😁

4: lakini pia anaweza kuwa wako kwa kumfanana mama yake.

5: jilizishe wasikutishe na kupima bila mkeo kujua inawezekana, chukua nywele zake na zako. 😀😀

6:ushauri majibu yakitoka tofauti,kwamba sio wako una chaguo mbili tu.
- piga kimya umlee kama wako
- mwambie mkeo ukweli na mtoto mleeni hapo kwenu bila kuwaambia ndugu.

Watakao sema Nina roho mbaya karibu.
ushauri mzuri sana na uzi ufungwe tu
 
Wanawake waongo, fake ndo wanaongoza kwa kuolewa, wakiziba nafasi za wanawake waaminifu waliojitunza. kama una bias nakushauri nenda kapime DNA ni sh 500000 tu.

1: nachojua mtoto Wa kwanza 90% lazima afanane na baba awe wa like au wa kiume, lazima kitu Fulani afanane na baba sura ikishindikana

2: sikatai mwanaume asilee mtoto ambae sio wake lakini, ( mm mwenyewe naweza kulea mtoto wa kambo vizuri tu baba yake akinoweka wazi) kwa nini Mke amfiche Mme wake? Maana kuna wanaume wema ukimwambia ukweli mnafanya siri mtoto mnalea bila ndugu kujua.

3: who knows? Dunia sio fair hii anaweza mlea akishamsomesha litokee la kutokea libaba lingine lije kumchukua.

4: lakini pia anaweza kuwa wako kwa kumfanana mama yake.

5: jilizishe wasikutishe na kupima bila mkeo kujua inawezekana, chukua nywele zake na zako.

6:ushauri majibu yakitoka tofauti,kwamba sio wako una chaguo mbili tu.
- piga kimya umlee kama wako
- mwambie mkeo ukweli na mtoto mleeni hapo kwenu bila kuwaambia ndugu.

Watakao sema Nina roho mbaya karibu.
Ningeshauri hivihivi ila ningeshauri kama mtoto sio wake aachane na huyo mwanamke..why alificha?

Au labda atuambie alimpata huyo mwanamke mwezi january na kumuoa february wakati akiwa tayari na ujauzito
 
Back
Top Bottom