HERUFI KUBWA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 388
- 602
Mambo zenu Wana MMU
Aisee hii korona ina viroja vyake Leo asubuhi nikasame niache huu upagani niende kanisani nikiwa na hungover zangu nikachagua kigauni changu kizuri nikipendacho sasa nimefika kanisani Saa 3:30 asubuhi nimejisikia kuumbuka kumbe utaratibu wa misa umebasilika yaani nimefika mwisho kabisa wa ibada
Jamani Mpaka hii Corona iishe tunayaona mengi..
Hebu weekend ya Leo Tupeane viroja ulivyokutana navyo baada ya Corona kuingia vikapelekea kuumbuka
Asubuhi njema
Tusisahau kunawa maji Tiririka
Kuvaa Mask pia (Barakoa)
NAWAPENDA
Sent using Jamii Forums mobile app