Kwa wale walio mapenzini

client3

JF-Expert Member
Aug 6, 2007
2,332
3,152
๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š Samahani kwa wale wenye mrengo wa kushoto, wanaofurahia nyuzi za maumivu kila wakati, kama tuletavyo masaibu yetu basi upande wa pili huwa kuna chembechembe za raha.

Unajisikiaje wewe unayependa na kurudishiwa upendo saa hii!!
๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Šmi nimesahau Corona eti.

Najisikia kupendelewa.

Moyo unapigapiga kwa upendo๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹

 
Mapenzi yana wenyewe..
Staki Tena๐Ÿคš, sie wengine tuache shobo๐Ÿคš
Tutazikwa wazima wazima.
๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Hongera Client3 kupata akupendae..Will you all happiness and Joyfully life.
Dedicated to you, Attack Attack..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom