Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina mshkaji wangu (JUMA) tangu kitambo sana tukiwa ndio tumeanza kazi since 2005, kuna kipindi jamaa alikuwa nje ya nchi na before ya kuondoka alikuwa anaishi na mdada fulani anaitwa Emmy, wakati...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu nilikua ninademu ambae ni wamuda mrefu sana nilipanga nae mipango mingi ikiwa ni pamoja na kumuowa, familia yake ilinijua na yangu ilimjua pia, mahusiano yetu yalidum zaidi ya miaka mitatu...
15 Reactions
324 Replies
31K Views
Wanabodi, Maandiko yanasema sisi wanaume tuishi na wake zetu kwa AKILI. Nimekaa nikatafakari hili kwa lugha rahisi kabisa maana yake ukishindwa kummudu/control mke maana yake HUNA AKILI ...
7 Reactions
93 Replies
9K Views
Wakuu, Sina uhakika kama kuna Uzi hapa JF unaohusu mambo mbalimbali kuhusu malezi ya watoto ambapo watu wanaweza kuuliza maswali kupeana uzoefu wa namna ya kulea watoto hadi wanapofikia umri wa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nawaasa mabaharia wenzangu kwa hili. Nimekuja kubaini kwamba pisi zinaamuaga kunipotezea kisa sio mhongaji mzuri. Kutokana na muonekano wangu wa nje mademu wanajuaga ni mhongaji kumbe wapi,mimi...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Baaga ya kula tunda nankuliwasha ipasavyo hataki kukubaki kuendelea kupata huduma aliyoapizwa kanisani badala yake gumegume Mimi dushe iliyojaa miiba. Inaliliwa na kimwana huyu. Huduma zote...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu... Naombeni Ushauri wenu hapa wa kisaikolojia. Mimi ni kijana ambaye nimekuwa na hali ya uoga kupita maelezo. Pindi ninapoamua au kuwaza jambo fulani nimejikuta mapigo ya Moyo...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Ukiwa Mchamungu mfanya Ibada Unakwenda kanisani au Una swali sana swala tano... Unafunga mwezi Mtukufu wa Ramadhan unajitahidi sana katika ibada... Mwema sana kwa Mungu wako... Hatukatai...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna Instagram page inaitwa tuongee mahusiano admin wake anaitwa Rosemary Mizizi, ukiachana na mafunzo yake ya ndoa na mahusiano amefanikiwa kuwa na followers wengi hasa wengi ni kike na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jamvi.? Kwanini Mademu walio wengi ni wepesi kutoka na Jamaa mwingine tofauti na mtu wake pale kunapokuwa na sababu zisizo za msingi? Kwa mfanio, utamkuta Demu ameachika na Jamaa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Haya maisha yanamaajabu makubwa sana. Dini zetu zinatuongoza kitotamani Mali za watu wengine. Tuinamishe vichwa vyetu chini, tujihifadhi na tuchunge tupu zetu. Mwanadam bado dhambi ya kula tunda...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Leo nimemkumbuka bebe wangu wazamani Vumi daaaaaaah alikuwa ananipa bupa anytime nikitaka iwe masika iwe kiangazi........ Alikuwa radhi achelewe kurudi kwao lakini Mimi nichezee bupa lake hadi...
3 Reactions
20 Replies
7K Views
Wakuu nakumbuka wakati fulani kulikuwa na huu mjadala humu. Kwa bahati mbaya sikuweza kufatilia hadi mwisho. Msaada tutani kwa anaekumbuka conclusion/hitimisho lilikuwa nini...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 23, sasa nachukua fulsa hii kumtafuta baba yangu ki ukweli sijawahai ata kumuona, mimi naitwa Werema Mauridy Mwita na baba yangu jina lake Mauridy Hamis Mwita. Nimeishi...
4 Reactions
103 Replies
9K Views
Habari Wana jamiforums mwenzenu nahis naingia kwenye mtihan mkubwa baada ya janga ili la Corona na athar zake Kwa Mara nying mke wangu amekua Sana rafiki yangu na mshaur wangu wa karibu...
4 Reactions
82 Replies
11K Views
Huyu dada nina muda naye tukiwa katika penzi letu la kufarijiana wakati wa uhitaji. Kiukweli nmeona videos na kusikia mengi sana kuhusiana na Covid 19 kiasi kwamba nachukua kinga kila wakati...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nipo na mrembo hapa Karantini analalamiiiika mwenyewe Mrembo: "Wanaume naowapata bwana,wote wanakuwa na changamoto ya utalii wa ndani... nikimaanisha wote huwa hawanyoi huko chini na sijawahi...
6 Reactions
168 Replies
23K Views
Wadau nisiwachoshe hiki kisa cha kweli Mimi na mke wangu tumeanza kuishi pamoja baada ya kufunga ndoa takribani miezi kama sita iliyopita ila alikuwa mjazito kwa hiyo alijifungua miezi minne iliyo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanaume kwenye mapenzi ni viumbe ambavyo vinajua kurusha ndoano zao kumpata mwanamke, lakini kwenye kumpata mwanamke wengi wao walishalizwa na wengi walineemeka na kufurahi sana. Historia ya...
8 Reactions
75 Replies
5K Views
Nipo hospital hapa pembeni yangu wamekaa mademu 2 wanashauriana ujinga Demu 1: mume wako ushamfuma mara kibao na wanawake na wewe Hali yako ndio kama hivi hauwezi kupata watoto tena, nakushauri...
2 Reactions
128 Replies
10K Views
Back
Top Bottom