Mabaharia mliitatuaje hii changamoto?

Mabaharia mliitatuaje hii changamoto?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,596
Reaction score
65,039
Kuna siku nilikuwa ugenini na mrembo mmoja matata full chura kama kawaida yangu. Kabla ya kwenda alinishawishi niweze kufika nami nikamuhahidi nitafika siku ya ijumaa jioni.

Basi siku hiyo akafanya booking ya lodge na kunipa taarifa, nikifika tu huko mkoani nifikie sehemu fulani chumba na x. Siku ilipofika nilianza safari, nikachukua taxi mpaka sehemu husika, baada ya kujitambulisha muhudumu akachukua begi langu na kunipeleka 'room'. Kuingia 'room' nikakuta nilishaandaliwa matunda mchanganyiko, ikabidi niyale kwanza huku nikisikilizia uchovu wa safari.

Baada ya kama dakika 20 hivi, mrembo wangu akawa amefika...akawa na furaha kwa kutimiza wito wake. Tumeongea mawili matatu, baadaye tukajitkuta tunatekeleza shughuli kuu iliyotukutanisha. Kutokana na ugumu wa mechi, uwanja ulilowana sana.

Tumekaa pale siku tatu, hakuna kutoka kazi ni moja tu. Sasa ile siku ya mwisho ndio uwanja ulijaa maji zaidi. Sasa wakati najiandaa niweze kuondoka nikawa najiuliza niwaambieje hawa wahudumu, kwa sababu itakuwa sio ustaarabu uondoke kimya kimya huku uwanja unakuwa ahueleweki, pia sikupenda kujishushia heshima.

Ilibidi nimuite muhudumu nikampa ABC na kiasi kidogo kwa ajili ya kufua. Nilichojifunza, ni vizuri kumjua mtu wako; kama ana hii changamoto popote pale mnapoingia mnaomba lailoni au kava ya plastiki. Je, mabaharia wenzangu mlishakutana na hii changamoto na mliitatuaje?
 
Kwahiyo kwa siku tatu mlilalia shuka chafu? Maana kwa mujibu wako toka siku ya kwanza mlipokutana "uwanja ulilowana". Inamaanisha hakuna daily room service hapo lodge?
Halafu wengine wanakuwaga vikojozi, unaweza jikuta unajisifia kuwa umemfikisha kumbe kakumwagia kojo la haja ndogo kitandani na si kojo la kuridhika.
 
Kwahiyo kwa siku tatu mlilalia shuka chafu? Maana kwa mujibu wako toka siku ya kwanza mlipokutana "uwanja ulilowana". Inamaanisha hakuna daily room service hapo lodge?
Halafu wengine wanakuwaga vikojozi, unaweza jikuta unajisifia kuwa umemfikisha kumbe kakumwagia kojo la haja ndogo kitandani na si kojo la kuridhika.
ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom