Vacancy for ladies

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,895
Hello everyone,

This is to inform you that there exists a vacancy for a young beautiful lady who is looking, willing and committed to settle down and begin a family.

I am a young Christian man who earns a living through farming, business and public service.

I therefore invite applications from a responsible, decent and serious lady who fully seeks to commit herself to marriage life.

REQUISITE VALUES:
- Must be of age between 18 - 30 years
- Must be purely a girl (not a single mother)
- Must be of good health
- Must have an entrepreneurial mind
- Should be decent, responsible, presentable and have business acumen.
- Sharti la ziada: kama ni member wa JF basi awe member walau kwa mwaka mmoja.

NB: Only serious and committed applicants are encouraged to communicate. Suitable and interested applicants can get in touch through PM.


Welcome!



Deadline: nikishampata...

PS: Wanasheria wana msemo, "There is always an exception to the general rule."

Kama upo unasoma hapa na unajihisi unafaa kuwa na mimi na kuna baadhi ya vigezo hujafikia usisite kuja na kuelezea hisia zako.
 
Mwenye nacho humcheka asiye nacho.
Mkuu nakutakia kila la kheri.

Ni poa sana wakongwe msipotumia Id mpya kwa ishu kama hizi.
Ila umeona ukiandika vacancy ndiyo watamiminika eeh?
Na hizi ajira zilivyositishwa nahisi hujakosea...
Shukrani mkuu.
Hili tangazo lilivyokuja utadhani anatafutwa muhasibu kumbe ni mke.

Halafu hujaweka wazi kama anayetafutwa atafanya kazi kama Gf, mke, au mchepuko.

Nimehamaki sana baada ya kuona ''I am a young christian man....''
Ni mke mkuu.
 
Haa tangazo limeshanikata stimu.

Tangazo tu lipo kwa lugha ya kizungu,je mawasiliano ya kila siku!?si kutesana tu kwa vidonda vya ulimi.(kujing'ata mubashara)
Numbisa, logic ya kuandika hivyo ni fupi tu.

Kama Mtanzania, naamini elimu ya msingi wote wanaoingia humu wamepitia. Basi kama ni hivyo ni rahisi kuelewa nilichoandika (tena nimejitahidi kutumia lugha nyepesi kabisa).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom