Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za usiku note, Natumai mwisho wenu wa wiki unaenda vizuri. Bila kupoteza maudhui, hii ni kali kuliko sigara looh. Humu JF ndo nimekutana na binamu nyama ya hamu. Na hii imedhihirisha...
10 Reactions
230 Replies
30K Views
Wajameni kutangaza kutafuta mwenzi,rafiki na kadhalika hatimaye nimempata rafiki atakayenipa furaha pale nitakapokuwa bored,stress na katika furaha zangu. Kuolewa nj automatic ,kupata rafiki ni...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanaume tu, lets discuss hiyo mada jion hii huku kamvua kakipiga piga hapa mujini DSM. Kabla sijaanza kwa topic wacha nishare kidgo stori. Jana nilikua na majukum ya oficn siku nzima bhs ile jion...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Alipopokea tu tuzo zake hivi karibuni, Ronaldo alisema, "Shukrani zimwendee Alberto Fantrau." Kisha akasema: "Naam mimi ni mchezaji bora na mafanikio yangu yote yamesababishwa na rafiki yangu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanawake wengi wamekua wanashangaa, ni warembo/wazuri sana lakini hawaolewi. Ukiufuata ushauri huu utakuja kunishukuru. Wanaume tukitaka kupata mwanamke wa kuoa tunaangalia yule mwenye Hofu ya...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
1.Kuwa mama Mwanamke anaweza akawa na kila kitu duniani, ila kama hajazaa mtoto, sio tu jamii iyomzunguka hata yeye mwenyewe atajiona kuna kitu amekikosa. Mama ndio nguzo ya familia, kaya, taifa...
8 Reactions
64 Replies
13K Views
Kama tujuavyo, pesa ni Kurwa na Mwanamke ni Doto. Je, kama huna pesa unaweza kujikwamua vipi? Yaani unaweza kumfanyia nini mwanamke akaridhika tuu hata kama huna pesa? Sent using Jamii Forums...
3 Reactions
103 Replies
10K Views
Kuna dada mmoja hivi nilimuomba namba zake mwezi wa 3, sikumtafuta baada ya kumuomba namba tokea mwezi wa tatu mwaka huu. Jana nikaona nimtafute, nikajitambulisha pale tukachat kidogo, basi...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Nilitembelea mtandao mmoja kwa ajili ya kuosha macho tu ili kuongeza ufahamu katika ubongo wangu. Nikakutana na wadada wako sokoni, kwa lisaa limoja ni USD 100. Ikabidi nichukue kikokotozi changu...
5 Reactions
130 Replies
11K Views
Mimi ni mwanamke na sio mwanaume kuhitaji urafiki sio lazima muwe wanaume pekee yenu kwa manaa mna dhani mimi ni mwanaume sijui shoga no. Mimi mwanamke nakuomba kuwa rafiki wamtu sio mbaya kwani...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Najua Kuna watu wanauzoefu humu ndani ivi Kuna namna mwanamke anaweza itumia asipate mimba au Mimi mgumba hivyo ananionea aibu kunambia utakuwa una tatizo ? Maana hatumii vidonge Wala sindano Wala...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kiukweli nachukizwa sana na dada zetu wenye tabia ya kushinda kwenye mitandao kukalia kulazimisha wanaume wawape Pesa au vocha a.k.a salio. Na mbaya zaidi wanajitongozesha wenyewe kwa wanaume...
12 Reactions
91 Replies
9K Views
Muda mwingine huwa mahusiano yangu na demu huwa yanavunjika pale anapotaka nimpe ahadi ambazo huwa siwez kumtimizia Niliwahi kuwa na demu ambae sina malengo ya kumuowa lakin kila tukichat anaanza...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Tulikuwa tumeshapokea michango kutoka kwa watu karibia asilimia 80 ya tulio wapa kadi za michango wameshatoa michango yao ya harusi. Kutokana na agizo la serikali kuzuia mikusanyiko tumeamua...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Samahani hapa najua wanawake wooooote huku mtanichukia lakini I don't care 💃 Kuna mtu hapa analalamika kuwa mume wake haweki picha yake profile picha kwenye WhatsApp au Facebook hata Instagram...
7 Reactions
110 Replies
9K Views
Kwenye huu ukanda wa baridi,tulishazoea kuwa tunakunywa kahawa, supu ya motomoto pamoja na vitu vinginevyo ili kuupa mwili joto. Hata katika mahusiano kipindi hiki ukidate na wale wembamba...
8 Reactions
52 Replies
6K Views
Baadhi ya Wanawake katika eneo la Trans Nzoia Kenya wamelalamikia tabia ya Wanaume kukata sidiria za Wake zao na kuzigeuza barakoa(mask) kwa madai ya kukosa pesa za kununua mask ili kujikinga na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Jaman Hivi inakuaje mdada unakuwa na mwanamme mmoja tu.. Utakuwa unaumia kila siku kama wameamua kutupanga tu basi wacha tuwapange Tukitaka kuolewa tutatulia baadae
4 Reactions
134 Replies
12K Views
Kuna wanawake katika mahusiano wanakua na aibu, au tuseme hawajiachii. Nawashangaa sana mwanamke unamuomba umnyoe sehemu zake nyeti yeye anakataa. Mwanamke anatakiwa ajue, unapokua na mwanaume...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
KWA NINI MTU AKITAKA KUOA ANAOA MTU TOFAUTI NA ALIYEMPENDA? Mwanafunzi alimuuliza mwalimu, "kwa nini mtu akitaka kuoa anaishia kumuoa mtu tofauti na aliyempenda?." Mwalimu akamjibu akasema; "ili...
7 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom