Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hali ilivyo
0 Reactions
2 Replies
941 Views
Baada ya kutendwa kitambo flani niliapa sitopenda tena ila nitafanya kazi ya kibaharia, ila sasa nilianzisha mahusiano na binti flani sio kwa kumpenda ila nichakate nisepe, Tatizo ni kwamba...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Rafiki wa kike anahitajika awe anaishi Iringa. Karibu PM. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
688 Views
Hello ladies and gentlemen. I hope mko poa. Mwenyezi Mungu aendelee kutulinda. Kuna inshu naichukulia poa but naona yazidi kuniathili kila kukicha. Binafsi napompenda mdada huwa nipo serious...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Mimi ni ME, umri wangu miaka 32. Naishi Dar. Nahitaji mwanamke black, umri usizidi miaka 32. PM me..
4 Reactions
31 Replies
46K Views
Habari za mwisho wa wiki, natumai mnaendelea vyema kulidhibiti janga la dunia kwa sasa. Leo nikiwa napata mlo wa mchana nilikaa pembeni ya dirisha kiasi nikawa nawaona wote wanaopita mtaani...
6 Reactions
99 Replies
8K Views
Niliwai kuweka offer yangu humu kuwa nahitaji kuoa lakin mke asiwe na uwezo kwa namna yoyote kuzaa. Nitampenda mno. Nina watoto 2 tayar. Mama zao walishaolewa zaman huko. Sitak kuongeza kamwe...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
Kaniwish siku yangu ya kuzaliwa baada ya kuachana nae kipindi kirefu sana je bado niko mawazoni mwake?je aliweka kitu cha kumkumbusha?sijamuelewa kabisa maana wanasema anaekukumbuka kakufikiria..
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Nahitaji ushauri huyu binti tumekuwa na mahusiano kwa miaka minne na tayari tuna watoto wawili, tatizo kubwa huyu binti ni kibuli, kisirani mpenda mizozo. Mimi ni injinia nina kampuni ya ujenzi...
12 Reactions
205 Replies
22K Views
Pray for me MMU Members in the next week's Event
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Unajifanya una kaustaarabu flani hivi ,unajua nini mwanaume anahitaji,una Vision ya maisha , ila unaonekana ni Mvivu wa kupika hiyo ni kulingana na coment zako nyingi nilizozifatilia, We mwanamke...
8 Reactions
40 Replies
4K Views
Ila tuseme kweli hizi old school group watu wanakulana sana Mungu shahidi sijawai japo ex wangu wapo huko. ila unatongozwa na mtu Wala hukuwai kumfikiria. yaani haya magroup acha tu Kuna mwenzetu...
6 Reactions
98 Replies
15K Views
Onyo: kama haujui maana ya fantasy naomba usichangie mawazo yako!!!!!!! Nina cousin wangu ambaye yupo kwenye mahusiano kama mwaka mmoja mmoja hivi. they are expecting to get married soon...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari zenu. Jana nilipata fursa ya kuhudhuria BACHELOR PARTY ya rafiki wa rafiki yangu. Alinialika niende nae, na alinipa warning na kuniambia BRACE YOURSELF kwa utakachokuta. Nilifika nae...
36 Reactions
203 Replies
31K Views
Inanipa shida sana kila nikifikiri jinsi dr wa kiume anamhudumia mke/mchumba wako je wakikutana nje ya kazi inakuaje?haiwezi kua ndo uraisi coz keshamuona kila ki2?Eti nyie kina dada mnalionaje...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeamka nimekutana na picha ya tomboy mmoja wa mjini na dada mwingine wa mjini aliewahi kuolewa na DJ wa club moja Dar. Huyo tomboy na huyo dada walikua wakiishi kinyumba kama mke na mume. Dada...
62 Reactions
839 Replies
159K Views
Wanawake tusiwaamini sana hawa wanaume na iwe fundisho ata kwako wewe unayesoma hii story! Nilikuwa na mahusiano na rafiki wa mpenzi wangu ambaye niliamua tu kumuacha bila sababu lakini enzi izo...
5 Reactions
94 Replies
8K Views
Nilisoma naye Morogoro, baadae nilisikia yuko Udsm engineering. Yeyote anayejua his whereabouts.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi inakuwaje majirani na watu wanaokufahamu Kufurahia changamoto (shida yako)? Iko hivi kuna jamaa hapa jirani alikuja na gari ya polisi Jana akitokea kituoni na maandamano ya polisi kuja...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mda Baba ako anakaa huku akikutathmini kwa Makini kisha anajisemea kimoyo Moyo bao langu hili[emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom