Ndugu zangu hivi nisipomuoa mwanamke huyu naweza kuwa na dhambi kweli

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,311
2,000
Kuna hiki kislay queen huwa nakinyanduaga mara nyingi sana hapa kwangu,kwa muda tuliokuwa pamoja mpaka sasa na vile tulivyozoeana inatosha kusema kabisa kwa sasa sisi ni wachumba Sugu,

Kiukweli ananipenda na naona hiyo kutoka kwake kabisa na ameshaweka mategemeo asilimia 100% kabisa kwamba mimi ndio nitamuoa,
ila binafsi nikimtazama naona bado hajakizi vile vigezo vyangu,ukitoa kile kigezo cha kujituma wakati wa uchakataji(Hapo yuko vyema ana A+).

Kwanza kabisa anapenda sana chipsi mayai,na vyakula vya kununua nunua,Ni mvivu jikoni naweza kusema hawezi kupika kabisa,(kwa sababu mimi niko vizuri jikoni ) hivyo nikitazama mapishi yake najua kabisa hakuna kitu,
Ni juzi tu hapa nilimtest anipikie ugali na dagaa ,
Ni kweli alipika lakini nilichokiona aisee unga wenyewe ni nusu tu lakini ugali mabuja buja kibao ingawa uliiva,
Dagaaa ameishia kujaza mafuta na mitomato kibao akidhani ndio ananogesha mboga kumbe amna kitu,

Nikasema hii isiwe kesi,jana nimejitosa kununua kuku apike ,
Huyo kuku Kumtengeneza tu yenyewe ni shida vile vipande kwa jinsi vilivyokatwa katwa sikujua ata nakula kuku kwa eneo gani ,paja,mgongo au kidali sielewi,
Ulivyofika wali kanijazia mafuta kibao ukiminya tonge mkononi mafuta yanatiririka(Nikioa si ataniua kwa pressure),

Pili nimemtazama kwenye mambo mengi ila moja kubwa ni kwamba huyu demu hawezi chochote kuhusu bishara au ujasiliamali,
Yeye ni wa kuletewa kila kitu huu si mzigo siku nikioa,
Nilishawai kumpa option achague kitu chochote anachoweza kukifanya cha kumuingizia kipato akasema hamna,
Nikamuuliza ata nikikupa mtaji ufungue ofisi ya kuuza Rasta hizi za kike uweke na kasaloon kako ka kike pembeni weka fundi hawe anasuka suka uingize mia mbili mia tatu, akanijibu yeye hawezi .

Ndugu zangu hivi nisipomuoa mwanamke huyu naweza kuwa na dhambi kweli?

CC Zero IQ
 
Wako Mtiifu

JF-Expert Member
Feb 1, 2018
200
500
Ndio, usipooa utakua na dhambi kweli kweli na haitokuacha, kwanza una bahati sana kwamba una 'mchumba sugu' asiyejua kupika halafu wewe unajua kupika, tenga miezi mitatu hasa kwenye hiki kipindi cha loki dauni mfundishe 'mchumbako' sugu kupika kila aina ya chakula ukipendacho yani hakikisha unapika nae mpka awe mbobevu katika hicho kitengo ni mambo ya kawaida

Kwenye mambo ya biashara hapa wengi pia wananichekesha, kwani mkeo lazima afanye biashara? au lazima afanye chochote kuingiza kipat0?(hawa motivesheno spika wanaharibu sana watu) Mke kazi yake ni kupigwa miti na kutunza nyumba, ikitokea ukabahatika mkeo akapata ajira au akapenda kufanya biashara shukuru Mungu but basically mwanamke anatakiwa kutunzwa ili na yeye atunze familia.

Sababu ya mwanamke kuolewa ni moja tu; kutoa papuchi kwa moyo wake wote tena kwa ushirikiano wakati wote wa uchakataji, kitu ambacho yeye ana ei plasi tayari.....0a ziro!
 
Chabrosy

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,333
2,000
Oa ziro

121.
 
castieltsar

JF-Expert Member
Jun 3, 2016
836
1,000

Imeisha iyo zirooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ABJ

JF-Expert Member
Aug 29, 2017
3,991
2,000
Kuna hiki kislay queen huwa nakinyanduaga mara nyingi sana hapa kwangu,kwa muda tuliokuwa pamoja mpaka sasa na vile tulivyozoeana inatosha kusema kabisa kwa sasa sisi ni wachumba Sugu,

Kiukweli ananipenda na naona hiyo kutoka kwake kabisa na ameshaweka mategemeo asilimia 100% kabisa kwamba mimi ndio nitamuoa,
ila binafsi nikimtazama naona bado hajakizi vile vigezo vyangu,ukitoa kile kigezo cha kujituma wakati wa uchakataji(Hapo yuko vyema ana A+).

Kwanza kabisa anapenda sana chipsi mayai,na vyakula vya kununua nunua,Ni mvivu jikoni naweza kusema hawezi kupika kabisa,(kwa sababu mimi niko vizuri jikoni ) hivyo nikitazama mapishi yake najua kabisa hakuna kitu,
Ni juzi tu hapa nilimtest anipikie ugali na dagaa ,
Ni kweli alipika lakini nilichokiona aisee unga wenyewe ni nusu tu lakini ugali mabuja buja kibao ingawa uliiva,
Dagaaa ameishia kujaza mafuta na mitomato kibao akidhani ndio ananogesha mboga kumbe amna kitu,

Nikasema hii isiwe kesi,jana nimejitosa kununua kuku apike ,
Huyo kuku Kumtengeneza tu yenyewe ni shida vile vipande kwa jinsi vilivyokatwa katwa sikujua ata nakula kuku kwa eneo gani ,paja,mgongo au kidali sielewi,
Ulivyofika wali kanijazia mafuta kibao ukiminya tonge mkononi mafuta yanatiririka(Nikioa si ataniua kwa pressure),

Pili nimemtazama kwenye mambo mengi ila moja kubwa ni kwamba huyu demu hawezi chochote kuhusu bishara au ujasiliamali,
Yeye ni wa kuletewa kila kitu huu si mzigo siku nikioa,
Nilishawai kumpa option achague kitu chochote anachoweza kukifanya cha kumuingizia kipato akasema hamna,
Nikamuuliza ata nikikupa mtaji ufungue ofisi ya kuuza Rasta hizi za kike uweke na kasaloon kako ka kike pembeni weka fundi hawe anasuka suka uingize mia mbili mia tatu, akanijibu yeye hawezi .

Ndugu zangu hivi nisipomuoa mwanamke huyu naweza kuwa na dhambi kweli?

CC Zero IQ
Hautakuwa na dhambi kwakweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,039

Mke, unatakiwa umjenge wewe unavyotaka awe, muda huu hutaweza (mchumba hasomeshwi utakuja juta) cha msingi mpe ujasiri, kujiamini na angalia anakutii na kukusikiliza maelekezo unayompa?

Ana shauku ya kujifunza vile anavyoona havijui? Mchapa kazi?

Kama majibu ya hayo maswali hapo ni ndiyo! Huyo OA na ukimuacha utakuja kujuta!
 
Du masly queen huwa wanabadilika kweli?

CC Zero IQ
 
buno25

Senior Member
Sep 13, 2011
175
225
Kuna hiki kislay queen huwa nakinyanduaga mara nyingi sana hapa kwangu,kwa muda tuliokuwa pamoja mpaka sasa na vile tulivyozoeana inatosha kusema kabisa kwa sasa sisi ni wachumba Sugu,

Kiukweli ananipenda na naona hiyo kutoka kwake kabisa na ameshaweka mategemeo asilimia 100% kabisa kwamba mimi ndio nitamuoa,
ila binafsi nikimtazama naona bado hajakizi vile vigezo vyangu,ukitoa kile kigezo cha kujituma wakati wa uchakataji(Hapo yuko vyema ana A+).

Kwanza kabisa anapenda sana chipsi mayai,na vyakula vya kununua nunua,Ni mvivu jikoni naweza kusema hawezi kupika kabisa,(kwa sababu mimi niko vizuri jikoni ) hivyo nikitazama mapishi yake najua kabisa hakuna kitu,
Ni juzi tu hapa nilimtest anipikie ugali na dagaa ,
Ni kweli alipika lakini nilichokiona aisee unga wenyewe ni nusu tu lakini ugali mabuja buja kibao ingawa uliiva,
Dagaaa ameishia kujaza mafuta na mitomato kibao akidhani ndio ananogesha mboga kumbe amna kitu,

Nikasema hii isiwe kesi,jana nimejitosa kununua kuku apike ,
Huyo kuku Kumtengeneza tu yenyewe ni shida vile vipande kwa jinsi vilivyokatwa katwa sikujua ata nakula kuku kwa eneo gani ,paja,mgongo au kidali sielewi,
Ulivyofika wali kanijazia mafuta kibao ukiminya tonge mkononi mafuta yanatiririka(Nikioa si ataniua kwa pressure),

Pili nimemtazama kwenye mambo mengi ila moja kubwa ni kwamba huyu demu hawezi chochote kuhusu bishara au ujasiliamali,
Yeye ni wa kuletewa kila kitu huu si mzigo siku nikioa,
Nilishawai kumpa option achague kitu chochote anachoweza kukifanya cha kumuingizia kipato akasema hamna,
Nikamuuliza ata nikikupa mtaji ufungue ofisi ya kuuza Rasta hizi za kike uweke na kasaloon kako ka kike pembeni weka fundi hawe anasuka suka uingize mia mbili mia tatu, akanijibu yeye hawezi .

Ndugu zangu hivi nisipomuoa mwanamke huyu naweza kuwa na dhambi kweli?

CC Zero IQ
Inategemea kama unataka kuoa mke au bussnes partina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngongoti2000

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,171

Anakipaji kingine huyo....jaribu kumpeleka kwenye masumbwi au riadha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom