Usagaji kwa Sasa ndio fasheni

Usagaji kwa Sasa ndio fasheni

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,606
Reaction score
8,270
Kila mji hapa Tanzania,hasa mza,dar,arusha,na hata iringa,wanawake sasa wanasagana tena wanafanya waziwazi,pia kwa sasa unapomtongoza demu anakueleza wazi kuwa anakueleza anakukubali ila uwe unamruhusu na yet kuwa na bby wake
Zaidi ya hapo wapi baadhi ya wanaume wanawatongizea mademu wao mademu na wanawagharimia mabbys wao mademu
Hayo ndio maisha ya kisasa
 
elvee hali ni mbaya. Tuchunge watoto wa kiume zaidi ya watoto wa kike
Malezi ya mtoto wa kiume yamekuwa magumu kuliko wa kike nyakati hizi.
7ba1af883bfdd94d6ad679baa4e96f4f.jpg
 
we jamaa wasema kweli kabisaa huku mtaani kwetu ndio kumeharibika vibaya sana kwa hayo mambo tena balaa usiombe itokee birthdei ya mmoja wao yani wanapigana madenda waziwazi mbele ya hadhira
 
Back
Top Bottom