Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Binafsi nimewakataa Wanawake kadhaa wenye Majina yafananayo na la Mama yangu Mzazi kwa Hisia zangu tu ambazo sina uhakika kama zitakuwa sahihi au si sahihi kwamba pale nikiwa nafanya nae Ngono...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SOUL MATE “People think a soul mate is your perfect fit, and that's what everyone wants. But a true soul mate is a mirror, the person who shows you everything that is holding you back, the person...
4 Reactions
3 Replies
865 Views
Ndugu zangu wana JF naombeni ushauri, nahisi kuchanganyikiwa vituko na visa ninavyofanyiwa na mpenzi wangu. Imefika hatua nimegundua huyu Bi. Dada kanichoka ila yupo na mimi basi tu kwa heshima tu...
7 Reactions
62 Replies
7K Views
Tulipokuwa wadogo tulikuwa tunaambiwa,'kijana soma kwanza mapenzi yapo tu, muda ukifika utayachezea mpaka utayakimbia/utayakinai'. Kwa sasa tumeshakuwa wakubwa. Je, haya mapenzi tunayafaidi kama...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana MMU kwanza naomba nimshukuru mungu kwa kuniponya na lile gonjwa kwa kweli ni kwa neema zake tu mimi kuwa hai Kuna ID humu imepotea kwenye macho yangu, Ile ID ambayo inaogopwa na...
14 Reactions
148 Replies
11K Views
Wengi tunaingia kwenye mahusiano kutokana na misukumo mbalimbali, mfano:- kupata mwenza, tamaa za kimwili, kuongeza kipato, kuigana n.k Hii hali imepelekea wanajamii kuhamasika, na kila mmoja...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa utafiti wangu hizi ni moja ya utofauti uliopo kati ya Wanaume na wanawake. 1. KWENYE MSHITUKO Mwanaume hustuka halafu huangalia nini kimemstua, mwanamke hustuka halafu huzimia. Baadae...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepita mahala nimekutana na EX boy wangu nimempa salamu kiroho safi hajanijibu ananiangalia tu. Hivi atakuwa anaona najipendekeza? Na kila siku lazima nipite pale anaposhinda maana ndio njia...
3 Reactions
43 Replies
7K Views
Naomba kujua hili kwa wanandoa wanapotalikiana (kuachana) nani anaadhirika zaidi kati ya Mwanamke au Mwanaume, na kwanini?
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Biashara ya ngono(wanawake kujiuza) imeanza zaidi ya miaka 1000 iliyopita. Jamii imekuwa ikiwachukulia hasi wanaofanya biashara hii (Unakuta mtu ana wanaume watatu au zaidi lkn bado anamsema...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana jamvi? Ni kawaida kusikia watu wanatafuta KE wa kuoa au wanawake wanatafuta ME wa kuwaoa. Nilicho experience mwenyewe katika safari yangu ya kutafuta mke kama walivyo wenzangu ambao...
8 Reactions
94 Replies
9K Views
__________________________ 1. KWENYE MSHITUKO Mwanaume hustuka halafu huangalia nini kimemstua, mwanamke hustuka halafu huzimia. Baadae ataambiwa na mwanaume kilichostua. 2. KWENYE KUPENDA...
8 Reactions
22 Replies
4K Views
Mapenzi ni closed book in short unakuwa hujui nini kipo ndani so unahitajika kuwa very very smart kuweza ili uweze kufika pale ulipopanga kufika,though kwenye mpenzi sio kila kitu kitaenda...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mapenzi ya sasa yana changamoto sana ukiwa mjinga itakula kwako. Siku hizi kuwa pekee yako kwa mtu imekuwa ni nadra sana. Saivi wadada wengi anakuwa na mtu anae mpenda na anayemtumia (wa pesa)...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Kutokana na mazingira yangu ya kazi muda mwingi nakuwa niko mbali na familia. Sasa huko nilipo nikawa na michepuko yangu miwili (yote ni chura matata ingawa wanazidiana kidogo). Katika hao...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
It hurts a lot kwa kweli. Nilimpenda ghafla huyu binti niliekutana nae maeneo ya mataa ya chang'ombe jijini Dar. Japo ilikuwa ni kwa muda mfupi lakini tulipanga panga maisha ya kuwa pamoja kama...
32 Reactions
134 Replies
12K Views
Jamani katika maisha tusipende kutoa ahadi ambazo hatuezi kutekeleza. Tusipende kusema uongo. Just imagine unamuahidi MTU kutwa utamuoa eti hutokuja kumuacha, bad enough unafanya kila uwezalo...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Dunia ina mambo mengi sana wakuu. Unaweza kumpenda mtu na mkaingia naye kwenye mahusiano, baadaye ndio ukagundua kasoro au changamoto alizonazo. Nilishakutana na changamoto moja baada ya kukutana...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wakuu Mwaka huu niliazimia kuwa na mahusiano rasmi ambayo kama Mola akibariki tufike kwenye kujenga familia maana mwakani nnafikisha miaka30 Kweli mwaka jana mwezi november nilifanikiwa...
1 Reactions
116 Replies
7K Views
Wakuu poleeni na miangaiko ya hapa na pale. Leo Mkuu wetu wa Nchi, JPM ametangaza kuanzia wiki ijayo atafungua Vyuo vyote Vikuu kwani anadai ugonjwa wa COVID-19 ushaisha na Tanzania ni salama...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…