Mapenzi yasiyoumiza

Mapenzi yasiyoumiza

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,596
Reaction score
65,046
Mapenzi yamekuwa yakiumiza watu sana, kuna kusalitiana, kusumbuana pamoja na kuwekeana ahadi hewa (kuchomeshana mahindi) mfano anakuambia atakuja siku fulani na siku hiyo ikifika hatokei.

Kunusuru hii hali ni vizuri kupambana na hawa makonkodi wa kuanzia miaka 35 na kuendelea wengi wao huwa sio wasumbufu, ukimwambia leo...kesho anakuja na anakuwa wa kwanja kutoa joho lake, ila hawa dagaa dagaa mtasumbuana mpaka uchakae. Chapa kazi...
 
Ili povu, Kuna mtu kashang'atishwa Mbu hapa. Unaambiwa nisubiri chini ya Mti nae wala hatokei.
 
Single maza hoyeeeeee
Mapenzi yamekuwa yakiumiza watu sana, kuna kusalitiana, kusumbuana pamoja na kuwekeana ahadi hewa (kuchomeshana mahindi) mfano anakuambia atakuja siku fulani na siku hiyo ikifika hatokei.

Kunusuru hii hali ni vizuri kupambana na hawa makonkodi wa kuanzia miaka 35 na kuendelea wengi wao huwa sio wasumbufu, ukimwambia leo...kesho anakuja na anakuwa wa kwanja kutoa joho lake, ila hawa dagaa dagaa mtasumbuana mpaka uchakae. Chapa kazi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti kubwa kati ya mapenzi na ngono, kwa maelezo na mifano uliyotoa hapa inaonekana unazungumzia usumbufu unaoupata ukihangaikia kupata ngono, hivyo ni bora kichwa cha habari kingeandikwa 'NGONO ISIYOUMIZA' na si Mapenzi yasiyoumiza' maana ni vitu viwili tofauti
 
Ha ha ha ha ngono ni nini?na mapenzi ni nini?
 
Kila siku umekuwa ukizungumzia mapenzi kama yamekushinda achana nayo fanya vitu vyengine..
 
Mapenzi yamekuwa yakiumiza watu sana, kuna kusalitiana, kusumbuana pamoja na kuwekeana ahadi hewa (kuchomeshana mahindi) mfano anakuambia atakuja siku fulani na siku hiyo ikifika hatokei.

Kunusuru hii hali ni vizuri kupambana na hawa makonkodi wa kuanzia miaka 35 na kuendelea wengi wao huwa sio wasumbufu, ukimwambia leo...kesho anakuja na anakuwa wa kwanja kutoa joho lake, ila hawa dagaa dagaa mtasumbuana mpaka uchakae. Chapa kazi...

Nina mpenzi ana miaka 19 yaani naletewa papuchi kwa wiki mara 5 hadi 6,kwahiyo mapenzi hayana utaratibu maalumu,unaweza ukapata bibi kizee na bado akakusumbua tu

Sent using IPhone X
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom