Mnapenda sana simu nyie watoto...

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,959
Nipo kwenye mgogoro mkubwa kisa simu wakuu. Mtoto wa Mwaka wa Kwanza analilia simu na kula nimeshamla. Ishu ni simu, simu, simu, sihemi yaani nikiona anapiga moyo unaenda mbio au nikiona text yake. Amekua kero

Ujue mimi sipendi usumbufu ujue ila mtoto amekatika sana kiunoni

Ila kiukweli mapenzi yamepungua kisa hiyo simu, simu yenyewe sijui infinix nini sijui huko hata siijui, naombwa 400k hapa sijui naitolea wapi
 
Sasa kama uwezo wa kumpa unao si umpe tu mzee, unakwama wapi!! Au unataka aendelee kuaibika na kiswaswadu wakati yupo first year na ana danga(you)😀
 
Yani kwenye buku moja kuna miambili tano!
Kwenye buku kumi kuna elfu moja kumi!
Kwenye laki kuna buku kumi, kumi!!
Kwenye laki mbili zipo ishirini kwenye laki tatu zipo 30 na kwenye laki nne zipo buku kumi 40!!..
Na hapo anaenda kununua simu tu bado atataka bando, power bank na umeme umlipie..

Mkuu Kama we ni shirika la misaada mpe ila kama hujiwezi temana nae kiuno hata nyigu anacho.
 
Kwakwwl najiona kabisa kutompa hyo hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi umekamilika,
Mkuu mwambie asubiri toleo jipya mwezi ujao linatoka izo anazotaka sio imara hazivumilii shida
Wakati anasubili we unajitafnunia vitu vyako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom