Ndugu zangu kiukweli hapa nilipofikia moyo wangu umeshapasuka vipande vipande mwanamke nilienaye mambo anayonifanyia kama ni maji yameshafikia shingoni tangu nimezingua nae nimejaribu kutumia kila...
Juzi nilikua zangu nmekaa sehemu nakula rost ya kitimoto na Red Wine [emoji485], wakati naendelea kula pale ghafla akatokea dada mmoja ambae ni jirani yangu lakini hatuna mazoea kivile...
endo la ndoa ni kitu ambacho watu hudhani kuwa kinatakiwa kufanywa usiku. Naam, unaweza kufanya tendo la ndoa muda wowote, lakini ukweli ni kwamba kulifanya tendo la ndoa usiku tu inaweza...
Habari wandugu.
Hebu tuachane na haya mambo yanayo endelea hapa nchini mana mengi yanatia hasira.
Uzi huu uwe maalumu kwa wale wote walio wahi kusalitiwa na wake zao, waume...
Siku moja nimeshuka katika usafiri wa umma niliamua kuingia supermarket moja pale Tabata fulani siitaji, ambayo wanauza maji ya kilimanjaro buku badala ya buku jero ili budget yangu niiminye...
Habari wakubwa natumai nyote wazima ,
Ndugu yenu nina kisanga kikubwa kutoka kwa mzungu , nilimfahamu kupitia social media ambapo yeye ndiye aliyeanza kunitumia text nilivyoiona nilijubu bila...
Siwezi kumlaumu sana, naheshimu mawazo yake mzee wangu.
Lakini nikiwa kama kijana na ndoto zangu nimejikuta leo nikikumbuka jinsi ambavyo ningekuwa naishi katika ndoto zangu na hata kumsaidia...
"Strong Couple"
(Wachumba/Wandaoa Wenye Nguvu)
Niliwahi soma post moja Facebook iliyoandikwa na Kaka "Justine Malili" yeye aliandika kuwa;-
"Hutakiwi kumwambia mwanaume naomba tufunge ndoa, Bali...
Katika visa vingi nilivyoletewa, hii ya Pastor na Muumini imenichekesha zaidi
Kisa chaenda hivi:
Muumini: Pastor nimekuja kwako, najua nimekaa hapa kanisani Miaka 15 tangu nikiwa na Miaka 20 na...
Juna kiumbe wangu flani nataka nimsaplaizi na zawadi siku ya birthday yake.
Naomba kujua ni Zawadi gani nzuri Romantic ya kumpatia mpenzi siku ya birthday yake.
Isiwe ya gharama eg, gari, Nyumba...
Nimetia kampuni hasara ya zaidi ya milioni tatu na natakiwa kuzilipa haraka iwezekanavyo.. Ukilinganisha na kipato changu nahisi labda baada ya miaka miwili ndo ntamaliza.
Nimerudi nyumbani...
Habari zenu wakuu
Mimi Ni kijana mwanachuo (20-24) ndo umri wangu
Takribani miezi mitatu imepita tokea niachwe na mwanamke niliempenda kwa dhati
Nimepata shida kumsahau ingawa kidonda ndio...
Wadau wa JamiiForums nilikuwa katika wakati mgumu majuzi kati hapa thats why sikuwa active kwa nyuzi za watu huku ndani lakin ukimya umenifanya nimegundua kitu.
Kwa mawazo yangu nimepata swali...
Kila jambo lina pande mbili, upande wa uzuri na upande wa ubaya, lakini katika kufanya maamuzi basi ni vyema kuegemea upande wenye mazuri zaidi kuliko mabaya.
Kuchepuka ni aina nyingine ya...
Yani tangu nianze kueleza matatizo yangu humu nimebahatika kumpata mkaka mmoja tu ambaye alikuwa kidini zaidi nilifurahishwa nae sana alinitia nguvu sana ya maisha ila wengi wao jamani wakiomba...
Mwanaume mmoja alimuoa mwanamke mrembo. Alikuwa akimpenda sana. Siku moja mwanamke alipatwa na maradhi ya ngozi. Kidogokidogo alianza kupoteza urembo wake.
Mume alipata safari na wakati akirudi...
Habari gani wanajamvi wenzangu..! Natumaini siku ya ya leo Jumapili imeenda vyema. Na mapambano dhidi ya corona yanaendelea na tuukaribu kumshinda huyu adui asiyeonekana.
Hivi kwanini wazazi wetu...
Wengi wanalalamika kuumizwa au kutwenda na wapenzi wao kwa kuoa au kuolewa na wapenzi wengine. Kwa yule anayehitaji ndoa siriazi hata ndani ya wiki hii.
Fanya yafuatayo:-
tafuta jobless yeyote...
Habari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.