Nilichokikuta kwenye simu ya mchumba wangu baada ya kumfuatilia...

kibumu

Member
Mar 2, 2018
45
90
Wakuu, nipo kwenye mahusiano na binti fulani ambaye nilikutana naye katika harakati za kutafuta maisha hapa hapa mjini yeye akadai ananipenda na wala hakuonyesha dalili tofauti ila siku za karibuni baada ya kuyumba kidogo kiuchumi basi nikaanza kuona mabadiliko fulani nikaamua kutumia uzoefu wangu mdogo kufuatilia bila yeye kujua.

Aisee niliyo shuhudia ni mazito, dada analala mpaka na watu ambao nawaita babu. Yaani mpaka sasa nimebaki na butwaa nasubiri miezi mitatu ipite nikapime afya halafu nijue nifanyeje.

NB: Wachunguzeni watu wenu kwa usalama wenu. Mwanaume usije muamini mwanamke kirahisi hata iwaje
 
Mapenzi kiti cha basi ukitaka kujua alikalia nani na nani na ukitoka wewe atakalia nani huji kusafiri.

Vile vile ni kama seeming pool we ogelea sepa usitake kujua alioga nani kabla yako au nani huwa anaoga ukiondoka.

Kama unamuamini usimfuatilie nyendo zake kwausalama wa afya yako. Kuku hachunguzwi.

Bora ungemuuliza kwanini amebadilika lakini kwa ulichokifanya yatakayokukuta ni haji yako.
 
Mwaka jana nilikua na mpenzi,kwak wamezaliwa mabinti wawili tu,kwa kweli huyu binti ana banwa sana na wazazi wake,nilikomaa nae tukafanya yanayohitajika kifanywa,baadae nikagundua yuko ki maslai zaid nikambwaga.
Jana niko sehemu,unajua tena za mtaa,
Kuna bodaboda anambebaga kwenye mishe zake usiku anavujisha siri zake.
Nilisikia stori za kushtua moyo wangu,aisee dunia imekwisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom